Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,920 Oct 6, 2014 #41 Mamndenyi said: Mungu amlinde tu Obama, hata mimi sipendi aumizwe. Click to expand... Wanadai hata baba yake aliuwawa!
Mamndenyi said: Mungu amlinde tu Obama, hata mimi sipendi aumizwe. Click to expand... Wanadai hata baba yake aliuwawa!
Michael Ngusa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,637 Reaction score 463 Oct 6, 2014 #42 bily said: Yule jamaa alidhamiria na kumbuka ni mwanajeshi aliepigana vita vya Iraq na kuruka kwake ukuta na kuingia hadi kukamatwa kwake akiwa na kisu tayari kufanya mauaji tunaweza kusema kuwa ni Mungu pekee ndiye anamlinda huyo baba sasha. Click to expand... Nimependa ulivyomuita!.
bily said: Yule jamaa alidhamiria na kumbuka ni mwanajeshi aliepigana vita vya Iraq na kuruka kwake ukuta na kuingia hadi kukamatwa kwake akiwa na kisu tayari kufanya mauaji tunaweza kusema kuwa ni Mungu pekee ndiye anamlinda huyo baba sasha. Click to expand... Nimependa ulivyomuita!.
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,353 Reaction score 33,514 Oct 6, 2014 #43 Osama aliikosakosa whitehouse kidogo tu mwaka 2001.ile ndege ilikua inaenda kujichomekamo kama wasingewahi kuitungua.sijui ingekuaje asee.
Osama aliikosakosa whitehouse kidogo tu mwaka 2001.ile ndege ilikua inaenda kujichomekamo kama wasingewahi kuitungua.sijui ingekuaje asee.