wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,549
Aliingia madarakani kwa kuchaguliwa na wazungu wengi, Marekani ina idadi ya wananchi mil 500 na weusi wakiwa mil 80, kwa hiyo wapiga kura wengi ni wazungu, hata hivyo kuna kundi dogo la wazungu wabaguzi ambao roho inawauma sana kumuona Obama akiwa Rais.
Kuruka ukuta wa Ikulu ya White house hivi karibuni kwa mtu asiyefahamika hadi kuingia ndani ya eneo la Ikulu hiyo ni dalili kuwa katika serikali ya Obama kuna watu wapo katika system ambao wamepanga njama za kumuua Rais huyu mwenye mvuto mkubwa duniani, kama walivyomua J.F Kennedy mwaka 1963, kwa wasiojua, Obama ni rais pekee wa US mwenye ulinzi mkali kuliko watangulizi wake wote.
Hiyo imetokana na asili yake, Ikulu ya white house iliyoko mtaa wa Penslyvania Washington inaaminika kuwa moja ya Ikulu zenye ulinzi wa hali ya juu duniani, ndo maana isingewezekana intruder kuruka ukuta bila ya kuwezeshwa.
Hiyo ni dalili tosha kuwa kuna njama za kumuua Obama zikifanywa na walinzi wake anaowaamini, kuresign kwa Julia mkuu wa usalama wa rais ni danganya toto,anajua siri nzito huyo.