Prodigal Son
JF-Expert Member
- Dec 9, 2009
- 1,080
- 743
Sasa mbona mwanzo umesema kwamba Wakristo wa Sudan wanaonewa. Sasa unaona unaleta double standard. One side unasema bora wajitenge, and the other side unasema watu wa kusini mmekalia ardhi. Double Stardand.
wewe Abdulhalim mbona hujuwi unachosema? kwanini unamuita AMI al Qaeda? toa ushahidi wako kuwa AMI al Qaeda? usizungumze hapa utumbo wewe AbdulhalimHuyu AMi ni al Qaeda, mnapoteza pumzi zenu kumjibu.
Nenda katawadhe kwanza ndio urudi.wewe Abdulhalim mbona hujuwi unachosema? kwanini unamuita AMI al Qaeda? toa ushahidi wako kuwa AMI al Qaeda? usizungumze hapa utumbo wewe Abdulhalim
Wewe naona hujui unenalo,,,,,,,,naona bado umelewa dini,,,,pole saana,,,,,,,,,ANGALIA KWENYE POST YANGU YA KWANZA,,,,,,,NILICHOKIJIBU NI MALALAMIKO YAKO KWAMBA NYERERE ALIONEA MIKOA YA KUSINI NA kati ya upupu wote ulioandika mie nime quote paragraphy ambayo uliandika hivyo,,,kama mawazo yako na akili zako zinashirikiana vizuri ukisoma utaelewa sikuzungumzia jambo lolote linalohusu Sudan kwenye hiyo post,,,
Nyerere kawafunga Waislamu kibao TZ. Mikoa yote ya kusini haina maendeleo kwa sababu ya Ubaguzi wa Nyerere kwa Waislamu. Kama Sudan wakiweza kujitenga basi mpango maalum uandaliwe ili TZ ijitenge pia. Waislamu wamechoka kuonewa na Wakristo.
kaka inaonekana huijui sawa sawa historia na hali halisi ya sudani. Sudani ya kaskazini inawabagua wa sudani kutoka kusini eti sababu sio waarabu na sio waislamu na wanawabagua wa darfur eti sababu sio waarabu ijapokuwa ni waislamu(kichekesho hicho.
Jamaa toka kusini mwa sudani na wa daarfur wako kama second class, na maisha yao kaka yanasikitisha sanaa. Sudani ya kusini kama ulivyosema ambao wakristo wako wengi maisha yao ni ya duni na utajiri kama kusini kuliko kaskazini. Cha ajabu wananyonywa hao wa kusini huwezi amini.
Sasa kama wewe unanyonywa, unabaguliwa eti sababu wewe ni mkristo na unawekwa ktk second class sasa kuna haja ya kuungana na mwenzako ijapo hakuthamini.
Huyo alievaa kofia ya pama na suti ni raisi wa sudani ya kusini na huyo askali mrefu ni bodygurd wake
kwanza sikubaliani na wewe hapo nilopo highlight red....
mimi nafahamu dawa ya moto ni maji na si moto..........
na kingine ningeomba uwaandikie hao wana JF
comments kwenye inbox zao...
kuliko kuja hapa na kutoa maneno makali sana
za kutaka kuwatenganisha waislam na wakristo hapo TZ..
na si mimi tu naamini wengi huku ndani hawakubalia nawe..
Ndugu yangu Matatizo ya maendeleo ya waislamu wa Tanzania ni ya kihistoria Tanzania na sio suala la kumlaumu nyerere wala kiongozi yoyote,
Waarabu ndio walikuwa wageni wa kwanza kufika East Africa (Kilwa), lakini hakuna hata shule moja waliyojenga zaidi ya kutuachia Makaburi tu, Suala la Elimu kwa Muislamu lilikuwa sio kitu raisi hata kidogo kukikubali
Mimi nimesoma hapa Dar kwenye miaka ya 80s, nakwambia ukweli darasa lilikuwa linajaa wakristo tu, Waislamu wakija siku mbili siku tatu wako chuo, walimu wanatuambia tukawatoe chuo kinguvu waje shule na inakuwa ni mbinde kuwatoa maustadhi wanaweka kei na shule kwamba tunataka kuwapoteza watoto wao,
NDugu Nyerere kwa kulijua hilo halizitaifisha shule zote za misheni na kuzifanya za serikali ili kila mtu hata muislamu aende shule na waislamu wengi (Lipumba, JK, Kagasheki, Kalamagi, Kaborou, Kapuya nk) walipita kwenye hizo shule zilizokuwa za misheni
Kumsema nyerere ni kumuonea tu alijitahidi sana kuwainua Waislamu wa Tanzania, lakini tatizo kubwa lilikuwa uelewa mdogo na kuchukulia dini kuwa ndio msingi wa maisha bila kisomo cha kidunia
Nakubali kwamba unataka kuleta umoja na mshikamano, ambao ni muhimu kwetu sisi. Lakini angalia ktk hizi topic zinazohusu Waislamu zinavyoshambuliwa na hawa Christians Fundamentalists, kama Max Simba, huyu mpagani aneyejiita Abdulhalim nk.
Huwezi kuwa na umoja na Mshikamano na mtu anaekudharau, asiekuthamini wewe kama binadamu, anaekufanya kuwa second class citzen.Nakubali kwamba unataka kuleta umoja na mshikamano, ambao ni muhimu kwetu sisi. Lakini angalia ktk hizi topic zinazohusu Waislamu zinavyoshambuliwa na hawa Christians Fundamentalists, kama Max Simba, huyu mpagani aneyejiita Abdulhalim nk.
Hukumaliza kuwatambulisha.kaka inaonekana huijui sawa sawa historia na hali halisi ya sudani. Sudani ya kaskazini inawabagua wa sudani kutoka kusini eti sababu sio waarabu na sio waislamu na wanawabagua wa darfur eti sababu sio waarabu ijapokuwa ni waislamu(kichekesho hicho.
Jamaa toka kusini mwa sudani na wa daarfur wako kama second class, na maisha yao kaka yanasikitisha sanaa. Sudani ya kusini kama ulivyosema ambao wakristo wako wengi maisha yao ni ya duni na utajiri kama kusini kuliko kaskazini. Cha ajabu wananyonywa hao wa kusini huwezi amini.
Sasa kama wewe unanyonywa, unabaguliwa eti sababu wewe ni mkristo na unawekwa ktk second class sasa kuna haja ya kuungana na mwenzako ijapo hakuthamini.
Huyo alievaa kofia ya pama na suti ni raisi wa sudani ya kusini na huyo askali mrefu ni bodygurd wake
Hapa unachokizungumza ni chuki tu na ubaguzi..Au fafanua vizuri unachokusudia.Waarabu wamewaua Waafrica wa kusini mwa Sudan amabyo wengi wao ni Wakristu na waabudu dini za asili kwa zaidi ya miaka 22 hivyo hakuna ubaya wakijitenga na uongozi dhalimu wa Khartoum kwani hata Kosovo, Bosnia-Herzegovina walijitenga baada ya waliokuwa wameungana nao kuwafanyia udhalimu. Ni hadi waarabu wajifunze kuishi na Waafrica kama watu wenye haki sawa ndipo Waafrica wataungana nao!
Nyerere kufanya hivyo alijitoa kimaso maso tu.Alijuwa kuwa zile shule si za wakristo peke yao.Kodi iliyozijenga ilikuwa ni ya waislamu zaidi.Halafu hakuwa na nia ya kuwasaidia waislamu kweli.SALAAM ALEIKUM
Hapa ndipo ninapotofautiana na Waislamu wenzngu. Kwanza dini yetu inatuambia tusimssemehe vibaya marehemu kwa hiyo Nyerere tumwache apumzike kwa amani. Kabla ya kupata uhuru kiwango cha elimu ya waislamu ilikuwa ni ya chini sana ukilinganisha mara baada ya kupata Uhuru. Kabla na mara baada ya uhuru waislamu wengi hawakutaka kuwapeleka watoto wao shule wakihofia ya kuwa watalishwa nyama ya nguruwe. Sasa kilichotokea wenzetu wakristo walienda mbali sana kielimu dunia kuliko sisi. Mara baada ya Uhuru Nyerere alizitaifisha shule zoe za kidini ya kikristo na shule za Kihindi na kuwa za Kiserikali kusudi kuweza kuinua kiwago cha elimu ya waislamu. Ingekuwa kama Nyerere angetaifisha shule za kiislamu na fikiri waislamu wengi tungelalamika mpaka hivi leo na tungedai shule hizo zirudishwe. Sasa Nyerere kwa nini tumshutumu kuwa ana udini.
Kutengana na wakristo sijaona kama ni sababu ambayo itatufanya tuishi kwa amani. Sisi waislamu kaka nikwambie tunamatatizo makubwa sana. Ebu angalia nchi kama Pakistani ambayo wanaishi waislamu pekee yaoa wanavyouana. Wanadiriki hta kuuana ktk nyumba za ibada. Kweli Mungu alisema tuuane ktk misikiti. Angalia pale Somalia ni waislamu watupu angalia kasheshe lake. Yemeni nako umeona vumbi lake huko nako kutakuwa kama Somalia. Nchi nyingi za kiislamu ndugu yangu zinamatatizo. Sidhani kuwa wakristo ndio wanaleta matatizo. Matatizo ni sisi wenyewe.
Huko kusini mwa Tanzania wanabaguliwaje? tuletee data hapa ndugu yangu
Maasalam
Nyerere kufanya hivyo alijitoa kimaso maso tu.Alijuwa kuwa zile shule si za wakristo peke yao.Kodi iliyozijenga ilikuwa ni ya waislamu zaidi.Halafu hakuwa na nia ya kuwasaidia waislamu kweli.
Kuhusu Pakistan,Somalia na Yemen jiulize hizi vurugu zimeanza lini?.Kabla wazungu wabuguzi wa kikristo hawajaingia kutia fitna ilikuwa tulivu kabisa.
Huko kusini mwa Sudan ni hao hao walioanzisha chokochoko kwa kumtumia John Garang.Kabla hawakuwa wakiangalia tofauti zao,wote walijiona ni waafrika tu.Fitna za wazungu wa kikristo ndizo zilizoingia nyoyoni mwa watu kama wewe.
Hata Kusini ya Sudan ikimegwa haitokuwa tulivu.Itakuwa kama huko Pakistan.
Nyerere kufanya hivyo alijitoa kimaso maso tu.Alijuwa kuwa zile shule si za wakristo peke yao.Kodi iliyozijenga ilikuwa ni ya waislamu zaidi.Halafu hakuwa na nia ya kuwasaidia waislamu kweli.
Kuhusu Pakistan,Somalia na Yemen jiulize hizi vurugu zimeanza lini?.Kabla wazungu wabuguzi wa kikristo hawajaingia kutia fitna ilikuwa tulivu kabisa.
Huko kusini mwa Sudan ni hao hao walioanzisha chokochoko kwa kumtumia John Garang.Kabla hawakuwa wakiangalia tofauti zao,wote walijiona ni waafrika tu.Fitna za wazungu wa kikristo ndizo zilizoingia nyoyoni mwa watu kama wewe.
Hata Kusini ya Sudan ikimegwa haitokuwa tulivu.Itakuwa kama huko Pakistan.