Mkuu I was just trying to build a case using a very common literature, which everybody must have heard of it. Had i used a book you have never heard of, would it have made sense to you?
Wataalamu wa mambo ya njama 'Consipiracy theoreticians' wanasema hakuna njama inayoweza kuwa siri kwa muda mrefu ikiwahusisha mtu zaidi ya mmoja. Ni njama moja tu ambayo hata wao wanashindwa kuelewa iliwezaje kuwa siri na ikavuka hadi miaka 2000 bila mtu hata mmoja kueleza ukweli wa kilichotokea. Hii ni ile ya kufufuka kwa yesu ambayo iliwahusisha wanafunzi wake ambao walidai yesu kawatokea chumbani, halafu mariamu magdalene ambaye alidai yesu kamtokea kaburini na kuna mwingine alidai yesu alimtokea kisimani. hii habari imewachanganya wataalamu wengi wa theolojia kwa jinsi ilivyodumu.
You have built your case in a very wrong theoretical framework, it seems your are both against Christianity and CCM, but kulinganisha wizi wa SITTA na ufufuko wa YESU ni jambo baya kabisa ambalo mwanajamii yeyote anaweza kufanya.
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kilichofanyika katika Bunge Maalum la Katiba (BMK), jana, kimewadhalilisha Wazanzibari.
Wakati CHADEMA ikisema hivyo, Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar, CUF, nacho kimesema CCM imejidhalilisha na kwamba hiyo itakuwa hukumu yao katika uchaguzi mkuu mwakani na ule wa serikali za mitaa.
Akizungumza na Tanzania Daima jana, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar, Salum Mwalim, alisema baada ya wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuandaa katiba yao, amepanga kushirikiana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kuzunguka Unguja na Pemba kwa ajili ya kuwaambia Wazanzibari waikatae Katiba iliyopendekezwa utakapofika wakati wa kura za maoni.
Mwalim, alisema Katiba iliyopendekezwa haikuja na mapendekezo ya Wazanzibari, hivyo wanapaswa kuikataa.
Katika mapendekezo hayo ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hakuna hata pendekezo moja la Wazanzibari lililowekwa nawataka Wazanzibari wayakatae mapendekezo hayo katika kura za maoni zitakazoitishwa, alisema Mwalim.
Alisema kwa kuwa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010 iliyofanyiwa marekebisho inatambua kuwa sheria yoyote inayopendekezwa katika Katiba lazima ipigiwe kura za maoni, sasa watazungumza kupitia kura za maoni na si vinginevyo.
Naibu Katibu Mkuu huyo, aliwataka watanzania bara kushirikiana na Wazanzibari kuikataa Katiba iliyopendekezwa kwa sababu imependekezwa na wajumbe wa CCM na siyo wawakilishi wa makundi na vyama vyote.
Na katika hatua nyingine, Naibu Katibu Mkuu huyo, alimpongeza Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman kwa kuitumia taaluma yake vizuri kukataa vifungu vyote vya Katiba iliyopendekezwa.
Natumia fursa hii kwa moyo wa shukrani kumpongeza mwanasheria mkuu wa Zanzibar, si tu kwa kuitumia vizuri taaluma yake, bali ameonyesha kujali maslahi ya kwao, ujasiri wa hali ya juu wa kiongozi aliyejitambua na kujua mahitaji ya nchi yake, alisema.
Mwalim, alisema kitendo kilichofanywa na Mwanasheria Mkuu huyo ya kusimama kidete kwa wazanzibari, kinapaswa kuigwa na wazanzibari wote hasa vijana bila kujali umri, dini na itikadi kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi hiyo.
Alisema CHADEMA Zanzibar iko upande wake na itaendelea kutangaza ujasiri na utashi wa nchi yake popote watakapoenda ili aendelee kuwa mfano wa kuigwa kwa wazanzibari wengine walioko upande wa CCM lakini hawana maslahi na nchi yao.
Pamoja na hayo, Mwalim alisema chama chake sasa kinajipanga kuzunguka nchi nzima ili kuwaeleza wananchi kilichotokea bungeni, lakini pia kuwaeleza nini wafanye katika kura ya maoni ya Katiba iliyopendekezwa.
Kwa upande wake, Naye Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano ya Umma wa CUF, Salim Bimani, alisema walichokifanya CCM ni kujidhalilisha na kwamba hiyo itakuwa ndio hukumu yao kwa kuadhibiwa mwaka 2015 katika Uchaguzi Mkuu na hata Serikali za Mitaa.
Alisema CCM imethubutu kutumia nguvu kubwa na mabavu katika kufanikisha agenda yao ya kuwavuruga wananchi kwa kuitupa rasimu ya Jaji Warioba na kuingiza wanayoitaka wao, kitendo ambacho hakitakubalika hata siku moja.
Bimani, alisema kuwa wao waligundua tangu awali na ndio maana wakatoka ndani ya bunge hilo na kwamba, baada ya CCM kupitisha rasimu wanayoitaka, wao hawaitambui na wanawangoja kuwahukumu kwa wananchi.
Sisi tunawataka wananchi watulie, lakini wawaadhibu CCM kwenye uchaguzi mkuu na hata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa kuwa wamefanya kitu kinyume na makubaliano na wamevunja sheria ya kuandaa katiba hiyo kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali, alisema na kuongeza.
CCM inatufanya sisi hatuna akili kabisa na kwamba walichokifanya hukumu yake ni mwaka 2015 na watakosa kura kwa wananchi, hivyo sasa wamejipalia makaa ya moto kwa kuwa watadharauliwa kwa wananchi na mataifa yote kwa kile walichokifanya.
Jamani hebu someni maoni ya Julius Mtatiro: "​HARAMU HAIWEZI KUWA HALALI HATA IKIHALALISHWA!!!
Habari za asubuhi wadau!
Tuanze mjadala wa kilichotokea Bungeni jana. Kuna watu wengi sana waliniletea ujumbe mfupi FB, SMS, MAILS n.k. Nimepokea jumla ya jumbe 385 baada ya matokeo kutangazwa, kila mtu na mtizamo wake na mwelekeo wake. Kuna waliotulaumu, kuna waliotupongeza,kuna waliotutukana na kuna waliokata tamaa.
Mjadala huu uwe wa hoja, usiwe na matusi wala vihoja, na usimjadili mtoa hoja. Soma andiko hili hadi mwisho. (WATANZANIA TUNAPENDA
KUJADILI VITU AMBAVYO HATUJAVISOMA VIZURI)
MTIZAMO WANGU;
Yaliyotokea Dodoma jana ni mwendelezo wa ujanja ujanja ambao umekuwa katika taifa hili kwa miaka nenda rudi. Ni dhahiri hakukuwa na theluthi mbili pale bungeni, na itakuwa hivyo milele. Hoja zangu ni mbili tu.
1. Wana UKAWA walioko nje (wanaotokea Zanzibar) na hawakupiga kura wako 67 (rejea hesabu aliyotoa ‪#‎IsmailJussa‬ juzi ikihusisha wabunge wa CUF 25, Wawakilishi wa CUF 33, wabunge 4 wa CHADEMA na wajumbe 5 walioteuliwa na Rais). Hapo unapata jumla ya kura 67.
Chukua kura hizo 67 jumlisha na kura 8 za hapana kutoka Zanzibar, jumlisha na kura 1 ya mjumbe ambaye hapigi kura(kutoka Zanzibar kwa sababu yuko mahututi kitandani) = 67 + 8 + 1 = 76.
2. Hata kama tukipiga hesabu mpya aliyoleta Samwel Sitta jana, kwamba wajumbe rasmi wanaopiga kura kutoka Zanzibar wanapaswa kuwa 219 na kwamba theluthi mbili yake ni kura 146 ili katiba ipite, bado haiwezi kupita kwani 219 76 = 143. Hivyo kwa vyovyote vile kura za NDIYO lazima ziwe 143 au chini yake.
3. Katika kutafuta kura feki, Mhe. Samweli Sitta juzi alisema ati wajumbe wasiwe na wasiwasi kwani tayari ana kura mbili za wana UKAWA ambao mmoja wao yuko tayari kufukuzwa katika chama chake. Bunge lililipuka kwa furaha. Utaratibu unataka awataje wajumbe wote waliopo na wasiokuwepo, alijulishe bunge kati ya wajumbe wote yupi na yupi hawatapigia kura ndani ya bunge kwa sababu atakazozitaja.
Hilo halikufanyika. Jana naona ati inatangazwa kuwa waliotoka na UKAWA ni 65, hivyo wale wawili ambao aliwajengea PRECEDENT juzi amechukua kura zao na hawataji ni kina nani wala walipiga kura kwa njia gani (KURA FEKI). Na hata akijiongezea hizo kula 2 feki bado BMK upande wa Znz wanabakiwa na kura 145 tu na siyo 146.
MAJIBU YA BAADHI YA MASWALI YENU?
JE, UKAWA WANGEBAKI BUNGENI, WANGEKWAMISHA KATIBA HII FEKI?
Hapana, UKAWA wangekuwemo Bungeni wasingezuia chochote. Wakati kanuni zinavunjwa na Rais anakuja kufungua Bunge baada ya Jaji Warioba. UKAWA walikuwemo. Wakati kamati 12 za BMK zinajadili RASIMU na kutupa maoni muhimu ya wananchi, UKAWA walikuwemo. Na leo tungeshuhudia CCM wanajitangazia theluthi mbili FEKI huku UKAWA wakiwemo pia.
Kuondoka kwa UKAWA katika mchakato usio na maridhiano, usio na nia njema, wenye lengo la kulinda maslahi ya chama kimoja imekuwa ni jambo muhimu sana. Ni bora haya yametokea UKAWA ikiwa haipo, vinginevyo CCM wangesema, tumeyatengeneza wote. Ni bora ijulikane wameyatengeneza wenyewe.
JE, UKAWA IMEKOMOLEWA?
Hapana, waliokomolewa ni wananchi. UKAWA ilikuwa inasimamia maoni na matakwa ya wananchi katika katiba. Vyama na wananchi walioungana na UKAWA kila mmoja alikuwa ana RASIMU yake, wote walikuja kuunganishwa na RASIMU ya Warioba. Kwa sababu chama kinachoongoza dola kimetumia hila na ujanja kujipitishia katiba bungeni, walioathirika ni wananchi na maoni yao. UKAWA was just a messenger
WILL THE MESSENGER LOOSE THE STRUGGLE? (MJUMBE ATAPOTEZA PAMBANO HILI?)
Hapana, UKAWA (The Messenger of the people Mjumbe aliyetumwa na watu hatapoteza pambano hili, kwa sababu mapambano ya katiba huwa ni ya muda mrefu na lazima yapitie katika hila na ujanja wa aina tunayopitia. Jambo la msingi ni kuwa UKAWA iendeleze juhudi za kuendelea kudai KATIBA YA WANANCHI.
HAS CCM WON THIS BATTLE? (JE, CCM IMESHINDA VITA HII?)
Hapana, CCM haijashinda VITA hii, nadhani IMEJITEKENYA NA KUCHEKA na kudhani inawachekesha walioizunguka. Hii ni kwa sababu hivi sasa kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini. Uelewa wa wananchi unakua kwa kasi na wananchi wanahamasika kujua haki zao na wajibu wa serikali kwao na kinyume chake.
CCM haitashinda vita hii kwa sababu wananchi wanaelekea karne nyingine, huku CCM ikiwa katika karne iliyopita. Pana siku itastuka inakuta wananchi hawapo, wameiacha kwenye dunia yake ya kale.
WHAT IS THE WAY FORWARD? (NINI KINAFUATA?)
Bado katiba mpya haitapatikana, bado kuna kazi kubwa sana kwenye kura ya maoni (ikiwa wanaoongoza wataiitisha ili kuamua katiba hii isiyo na maridhiano). Turufu ya kuikataa katiba iko pande zote za muungano, japo kwa Bara wanaweza kufanya ujanja na kutengeneza kura FEKI kirahisi huku kwa Zanzibar KATIBA hiyo ikikataliwa.
JE, MIMI NIMEUMIZWA NA MATOKEO YA JANA? (AM I HURT BY THE FAKE RESULTS?)
Hapana, sijaumizwa kabisa. Naamini katika taratibu za kidemokrasia, naamini kuwa HARAMU haiwezi kuwa HALALI hata IKIJIHALALISHA. Ni suala la muda tu. Time always will speak!
Tatizo lilopo hata Ukawa ilikuwa ni michezo ya kuigiza tu. Ukawa ndo wamevuruga Mchakato mzima . Na hii taratibu za kususia vikao bungeni vitamaliza upinzani.Wapinzani gangamalia ukweli acha kudai haki msioijua. CCM ni wakomavu fitina wanazijua ndo maana kati ya ukawa nusu walikuwa CCM
CCM hawana jipya wala fitina zisizojulikana, they are just doing this nonsense at the 'expense of peace' preserved by CDM, the opposition and the 'lovely people' of this country.
But it is just the matter of time, there is an end for everything...there is an end..
Watu hawatakuwa wanyonge siku zote hata pale wanapodhulumiwa wazi wazi, just in the name of PEACE..
Mzee Nyerere alishasema, misingi ya maendeleo katika nchi yoyote, siasa ni moja ya misingi hiyo, lakini alianisha siasa safi na sio siasa chafu au siasa uchwala inayofanywa na baadhi ya mahaini(watu wa chache walafi wa mali na madaraka) wa nchi hiii. Nachelea kusema Tanzania amka, toka usingizini tunakaribia ukingoni mwa uvumilivu, tukifikia ukingo mabaya yatatufika, kwakua wale wengi wasionacho
hawataona adha kupoteza maisha yao kwakua hawatakua nachakuofia kupoteza katika harakati zakudai haki zao. Mwenyezi Mungu tufunilie kuyaona hayo ya mbeleni nakutuepushia. Amen
Kura 30 zinahesabiwa kwa siku tatu?? si wangemwajili mtoto wangu aliegaraduwti darasa la saba…Mtoto wangu angeweza kuwahesabia ndani ya dakika 3 na mkampa zawadi ya pipi tuu….Sasa ule msururu wa wasomi waliomaliza vyuo vikuu zaidi ya 30 kwenda kuhesabu kifichoni kura 30 tu!!!!!….Hivi elimu ya Tanzania imeshuka kiasi hiki??? Inasikitisha sana wandugu
Well, I am not against christianity, thou I'm indeed against any oppressor(ccm et al), I am just a believer of science, anything which doesn't have scientific rationale, you cant convince me.
if you are a scientist then you might know that things which humans have yet to discover does mean they do not exist, what is called scientific proof is only what we have attained in science. Scientist can not disprove a theory or law just because they can not prove it, no body has proved that Jesus was not resurrected. unless is proved otherwise a theory or a law remain valid in scientist arenas.
if you are a scientist then you might know that things which humans have yet to discover does mean they do not exist, what is called scientific proof is only what we have attained in science. Scientist can not disprove a theory or law just because they can not prove it, no body has proved that Jesus was not resurrected. unless is proved otherwise a theory or a law remain valid in scientist arenas.
In red put hypotheses or speculations, Theory must be tested.
All the things that you claim the so called jesus did are speculations because can not be tested or justified rationally. For someone to test them need to be intoxicated with 'faith'. (faith=believe in something you are not sure of)!! rubbish
Wataalamu wa mambo ya njama 'Consipiracy theoreticians' wanasema hakuna njama inayoweza kuwa siri kwa muda mrefu ikiwahusisha mtu zaidi ya mmoja.
Vyovyote ilivyokuwa, ukweli wa kura za siri utajulikana muda si mrefu baada ya wachache walinaoujua huo ukweli kuanza kuropoka. Kuropoka ni asili ya mwanadamu si lazima anywe pombe, watu zaidi ya 10 wanajua nini kilitokea, ni kazi sana watu wote 10 ku-withstand pressure ya kutaka kusema ukweli. tena nina wasiwasi huo ukweli anaweza kuusema mtu ambaye tulimtarajia awe wa mwisho kusema 'SITTA'
Si mnamjua Mhe. sana Sitta jinsi alivyo mtu wa 'maslahi'. Siku akiingiliwa maslahi yake, atamwaga ugali hadharani. Mtasikia tu jinsi alivyofanikisha hili zoezi na jinsi ambavyo hajathaminiwa. Sitta sina wasiwasi naye kabisa, najua atasema tu, tusubiri tu michakato ya uraisi ianze, huyu mtu akikosa maslahi anauwezo hadi wa kuanzisha chama kingine kama CCJ, ndio imshinde kusema jinsi alivyozibadilisha kura za 'hapana' kuwa 'ndio', Tusubiri tu.
Lakini akichelewa kusema Sitta najua wengine watasema tu iwe kwa kutafuta umaarufu wa kisiasa au guilty consious.
Mkuu Heinrich Himmler. mtoa siri hawezi kuwa Sitta, kwa sababu maslahi yake, yatalindwa, na 2015 ni Sitta, kama zawadi yake kwa kazi nzuri iliyotukuka kwenye BMK!.
Kwa mujibu wa website ya BMK, wajumbe ni 630. Wabunge wote wa Bunge la Muungano 347, Wajumbe wote wa Wajumbe wa Baraza la wawakîlishi 82 na wajumbe 201, Kati yao, wajumbe sita wa baraza la wawakilishi ni wabunge wa bunge la muungango. Hivyo idadi inabaki kuwa 624. Ukiondoa mmoja aliyefariki, wanabaki 623. Katibu wa bunge jana ametangaza kuwa jumla ya wabunge wa Zanzibar ni 219 na watanganyika ni 411. Jumla ni 630.
Hizo hesabu sio sawa na ndio maana wamefunga website ya Bunge la Katiba maana ilikuwa inaonesha composition na namna wajumbe walivyobaki 624 badala ya 630. Na hapô hawakuzungumzia mmoja aliyefariki!
Mkuu Heinrich Himmler. mtoa siri hawezi kuwa Sitta, kwa sababu maslahi yake, yatalindwa, na 2015 ni Sitta, kama zawadi yake kwa kazi nzuri iliyotukuka kwenye BMK!.
Tatizo lilopo hata Ukawa ilikuwa ni michezo ya kuigiza tu. Ukawa ndo wamevuruga Mchakato mzima . Na hii taratibu za kususia vikao bungeni vitamaliza upinzani.Wapinzani gangamalia ukweli acha kudai haki msioijua. CCM ni wakomavu fitina wanazijua ndo maana kati ya ukawa nusu walikuwa CCM
Kwa hiyo ingependeza wawemo ndani ya genge la wahaini hawa walioyapindua matakwa ya wananchi walio wengi ili kuhalalisha uhalifu wa unaopaswa kuadhibiwa?
Wataalamu wa mambo ya njama 'Consipiracy theoreticians' wanasema hakuna njama inayoweza kuwa siri kwa muda mrefu ikiwahusisha mtu zaidi ya mmoja. Ni njama moja tu ambayo hata wao wanashindwa kuelewa iliwezaje kuwa siri na ikavuka hadi miaka 2000 bila mtu hata mmoja kueleza ukweli wa kilichotokea. Hii ni ile ya kufufuka kwa yesu ambayo iliwahusisha wanafunzi wake ambao walidai yesu kawatokea chumbani, halafu mariamu magdalene ambaye alidai yesu kamtokea kaburini na kuna mwingine alidai yesu alimtokea kisimani. hii habari imewachanganya wataalamu wengi wa theolojia kwa jinsi ilivyodumu.
In red put hypotheses or speculations, Theory must be tested.
All the things that you claim the so called Jesus did are speculations because can not be tested or justified rationally. For someone to test them need to be intoxicated with 'faith'. (faith=believe in something you are not sure of)!! rubbish
I am not sure if you have researched on Jesus history by yourself or you have heard from others! it is not an hypothesis, it is reported fact. The birth and death of Chief Mkwawa for example can not be tested experimentally, it is only a reported fact. Why would you accept part of the story from the same book and not accept the rest? I find find it odd! who ever proved scientifically that he was son of Mary and his name was Jesus? who ever proved scientifically that when Simeone took over the cross he returned it back to Jesus? who ever proved that he died in the cross in the first place? the big question is however who ever proved scientifically that Jesus ever existed? and here maybe we will need DNA results I guess. As science is an art of doing things systematically, and when repeated under same condition could yield more or less similar results. Human being has yet to achieve perfection in science nor in history, may be I would argue you to research on the history of the bible, look for why, when and how it was written? who funded the collection and why? what books were omitted and why (who decided what books should be in)? These would help you to have better understanding and make informed argument.
But I should say, I am really impressed with how you conduct yourself as an intellectual, if the forum would have many like you, ukombozi wa nchi yetu dhidi ya watawala wabovu ungeisha very soon. Keep it that way, stay strong. After all people do not need faith (to live worldly life) if the country laws can regulate social cohesion and interactions, however faith make people obey the laws in absence of policing.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.