Heinrich Himmler
Member
- May 20, 2013
- 71
- 151
Wataalamu wa mambo ya njama 'Consipiracy theoreticians' wanasema hakuna njama inayoweza kuwa siri kwa muda mrefu ikiwahusisha mtu zaidi ya mmoja. Ni njama moja tu ambayo hata wao wanashindwa kuelewa iliwezaje kuwa siri na ikavuka hadi miaka 2000 bila mtu hata mmoja kueleza ukweli wa kilichotokea. Hii ni ile ya kufufuka kwa yesu ambayo iliwahusisha wanafunzi wake ambao walidai yesu kawatokea chumbani, halafu mariamu magdalene ambaye alidai yesu kamtokea kaburini na kuna mwingine alidai yesu alimtokea kisimani. hii habari imewachanganya wataalamu wengi wa theolojia kwa jinsi ilivyodumu.
Ukija kwenye hili la kura zote za siri kuwa za 'ndiyooo' hakuna shaka kuwa haiwezekani kuwa hizo kura zote zilikuwa za ndiyo, ma-gap ni mengi mno, kwanza kama zote hizo zilikuwa za ndio, kwa nini M/kiti Sita alikuwa anahaha kuunda kamati ya majadiliano ili kuwabadilisha wale waliopiga hapana? kama akidi ilishapatikana, juhudi za vimemo vilivyokuwa vinatembea vilikuwa vya nini? Kwa nini kura 30 zilienda kuhesabiwa huko chumbani kukiwa na ma-cadre wa kura za ndio tu bila kushirikisha wale waliopiga za hapana ambao ndio wangeweza kuzilinda kura za hapana?
Vyovyote ilivyokuwa, ukweli wa kura za siri utajulikana muda si mrefu baada ya wachache walinaoujua huo ukweli kuanza kuropoka. Kuropoka ni asili ya mwanadamu si lazima anywe pombe, watu zaidi ya 10 wanajua nini kilitokea, ni kazi sana watu wote 10 ku-withstand pressure ya kutaka kusema ukweli. tena nina wasiwasi huo ukweli anaweza kuusema mtu ambaye tulimtarajia awe wa mwisho kusema 'SITTA'
Si mnamjua Mhe. sana Sitta jinsi alivyo mtu wa 'maslahi'. Siku akiingiliwa maslahi yake, atamwaga ugali hadharani. Mtasikia tu jinsi alivyofanikisha hili zoezi na jinsi ambavyo hajathaminiwa. Sitta sina wasiwasi naye kabisa, najua atasema tu, tusubiri tu michakato ya uraisi ianze, huyu mtu akikosa maslahi anauwezo hadi wa kuanzisha chama kingine kama CCJ, ndio imshinde kusema jinsi alivyozibadilisha kura za 'hapana' kuwa 'ndio', Tusubiri tu.
Lakini akichelewa kusema Sitta najua wengine watasema tu iwe kwa kutafuta umaarufu wa kisiasa au guilty consious.