Njaa ya Ajabu

Hivi inawezekana jamani?

Au labda sie wengine sababu kimombo kimetupitia kushoto hatujaelewa
 
Ok! Kumbe alikua anapikiwa chakula chenye muundo wa baiskeli,ndege n.k
 
Ukiona documentaries za hawa watu wanaokula vitu vya ajabu ndio zinatisha zaidi. Ni aina ya kichaa lakini.
 

Wow!!! FaizaFoxy thanks, This guy must have been carrying conc. Nitric acid in his guts!!! How do you dissolve a bike in the duodenum?
 
Last edited by a moderator:
Ukiona documentaries za hawa watu wanaokula vitu vya ajabu ndio zinatisha zaidi. Ni aina ya kichaa lakini.

You could right. Kuna hali kitaalam wanaita PICA Pica (Eating Disorder): Treatments, Causes, Symptoms

lakini hii yakula vyuma na mbao nadhani imepitiliza. Lakini huwa inategemea aina ya bacteria aliozoesha tumbo lake kuwafuga au kujaaliwa kuwa nao, kwa sababau siellewi jinsi anavyoweza ku-digest baiskeli (of ni iron lakini amount ya mkupuo ni kubwa mno)
 
Yaani mie naogopa kuona anakula nahisi atachomwa. Kama samaki tunakula kwa woga, seuze chuma? Kuna katoto niliangalia documentary kanakula tube lights.

ila mi nimesoma na mdada anatafuna toilet tissue. Yaani akienda class anabeba roll, anajichana taratibu
 
Nadhani akimaliza kula anakula na kijiko na uma kabisa...Duhhhh...Dunia ina mambo ,
 
King'asti, ulimwengu umesheheni watu wenye tabia za namna hii. Cheki hii link:

9 Horrifying Foods You Won't Believe People Actually Eat | Cracked.com

lakini kula pikipiki mpaka iishe!!!! inahitaji dhamira pevu!!

cc FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
he had eaten nearly nine tons of metal....oooops....ifike mahali tuheshimiane aisee hii uongo ya namna hii mtu anaweza kwenda fungua mashtaka mahakama kuu aisee.
 
Nahisi huyu ndo aloila ndege ya malaysia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…