mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 593
Matatzo haya yamekuja yote kwa pamoja na yote ni hatari kwa maisha ya mwanadamu, je lipi lianze kutatuliwa? Maana kutatuliwa yote kwa pamoja kwa serikali yetu hii ni ndoto, njaa serikali haitaka kuhusika maana haina shamba, ajira haitaki kutoa maana bado uhakiki inaendelea mpaka........, maisha magumu kwa watu sababu ni wapiga dili wanavyoitwa, pia kuagizwa kila mtu abebe mzgo wake!
Je serikali haihusiki kweli ktk haya au kukwepa majukumu? Je majukumu yake ni yapi kama haya haihusiki? Ujenzi viwanja vya ndege na ununuzi wa ndege ndo majukumu yake? Najaribu kufikiri tu maana vilio vimetanda kila sehemu kama ndege porini! Jpm jipange sana maana watu wafwaaaaaaa!
Samahani msiniite mchochez maana watu kusema ukweli mnatoa mapovu, mwataka kusifiwa tu!