Njaa Somalia: Je, Tanzania itoe msaada kwa hawa wenzetu?

Waarabu wana pesa za mafuta lakini kuchangia kwenye maafa hakuna. Japan na marekan ndio wanaongoza. Plumpy nuts, F75, csb na yellow corn, pulses zote mataifa ya magharibi wanaletaga tende tu.

Unasema tende??? Hiyo ni sunna, ukila huumwi njaa siku 7

uko sawa mkuu, na nina shaka hizo sambusa ziliwekwa nyama ya nguruwe ngoja nitafute data kwa swahibu yangu pale mogadishu

[h=2]Somalia: Islamic supremacists ban samosas for "resembling Christian Trinity"[/h]
Delicious, but haram

Militants believe triangular snack 'resembles Christian Holy Trinity,'" by Stewart Maclean for the Daily Mail, July 26 (thanks to Twostellas):
Somalia's al-Shabaab group has banned samosas after ruling the popular snacks are 'offensive' and too Christian.Militant Islamist fighters last week used vehicles mounted with loudspeakers to announce the bizarre ruling across the regions of the war-torn country it controls.

It is now thought islamist militants have taken offence at the three-sided samosa's supposed resemblance to symbol of the Christian Holy Trinity.
Kenya's Daily Nation newspaper today reported that residents of the Somali town of Afgoye, 20 miles south of the capital Mogadishu, had confirmed the samosa ban had been imposed.
The fried snacks, usually filled with spicy meat or vegetables, have been served for centuries in the East African country.
But the newspaper said locals believed al-Shabaab leaders had decided the triangular shape was not compatible with their strict version of Islam.

The unexpected move means Somalis could now expect to be punished if caught cooking, buying or eating samosas, known locally as sambusas.

Sambusa zilitengenezwa zikiwa na pembe tatu, wenye dini yao walisema zinamaanisha utatu mtakatifu wa wakiristo na hivyo zikawa halamu na kupigwa marufuku. Te te te teh teh........ hii dunia in mambo!!! wanangu kua uyaone.

duh .... hii kali ..... kwa hiyo hata ESCUDO ya milango mitatu wataipiga marufuku

Painkiller leo kazi unayo, tumia ile ID ya Paw kupunguza kelele kama naibu spika na cdm ha ha ha ha

kuna watu wajinga na wapumbafu, hata wakielezwa kitu hawaelewi. we pumbafu kweli yaani mpaka Waislamu waandamane ndio utaridhika mjinga kweli wee

mbona tende wanaziandika DONATED BY SAUDI ARABIA AU KUWAIT, juz juz hapa tumepokea mchele umegongwa donated by Kuwait?labda mkitoa misaada majumbani ndo hamtangazi. Unakumbuka ajali ya dodoma ya train? Mwana wa mfalme wa saudia na kiremba alidonate madawa na pesa kwa red cross na alijitangaza .

kwani wakristo wameandamana kulalamikia njaa au kutaka wasaidiwe watyu wanaokufa na njaa kaskazini mwa Kenya. Kwani wanaotaabika na njaa kaskazini mwa Kenya au Ethiopia ni Waislamu tu?

Mbona Iran imeshatuma shehena mbili za misaada kwa wananchi wa Somalia?[video]http://kiswahili.irib.ir/index.php?option=com_content&view=article&id=18927 :iran-yatuma-shehena-nyingine-ya-misaada-ya-dharura-somalia&catid=1:latest&Itemid=74[/video]

asas hapa unachangia changia hnini si ukae kimya ..kwani unapokuja kutoa/kutetea oja yako hapa si ndio unatangaza au?kwa hiyo unapingana na aya yako...

Ntambaswala mkuu ! Iran imeshatuma shehena mbili za misaada hadi sasa kwa wananchi wa Somalia acha kubwabwaja tu soma hapa[video]http://kiswahili.irib.ir/index.php?option=com_content&view=article&id=18927 :iran-yatuma-shehena-nyingine-ya-misaada-ya-dharura-somalia&catid=1:latest&Itemid=74[/video]

mbona unapingana mna mwenzako hapo chini? mwenzako si katoa aya kuwa mkichangia mnatakiwa mkae kimya? hii sasa ni nini? au aya zenu wenyewe hamzijui?

Solidarity katika kupiga vita social injustice inawapiga vita. Ingekuwa mtu mmoja ametishia kuchoma moto Qu'ran, of course, ungeshakwisha ona solidarity yenyewe. Kwangu mimi hata mtu akichoma moto biblia milioni 1 bado anakuwa hajachoma biblia hata moja maana neno la Mungu ni hai halichomwi moto na liko ndani ya mioyo ya wanadamu. Lakini kwa wenzetu sivyo.

kama ni hivyo basi kusingekuwa na balaa la njaa kiasi hiki.

duh .... hii kali ..... kwa hiyo hata ESCUDO ya milango mitatu wataipiga marufuku

Wakati wa kampeni 2010 hapa Tz walidharirisha utatu mtakatifu, walianza na mafiga matatu baadae wakaja na utatu yaani baba (kikwete) mwana (mbunge) na roho (diwani). Usiyastaajabie ya somalia hata hapa bongo yapo!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…