Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,384
- 92,705
Huu ni upotoshaji wa makusudi, UNHCR kazi yao ni nini?Tunatoa msaada mwingi sana kwa Somalia hata kabla ya njaa kutangazwa, tuna kambi za wakimbizi wa Somalia ndani ya Tanzania, mbili kama sikosei, tunazihudumia kwa hali na mali na tunawafundisha askari wa Somalia kwa hali na mali. Huo ni msaada zaidi ya kumpa mtu tonge.