Njaa Somalia: Je, Tanzania itoe msaada kwa hawa wenzetu?

Swali langu ni tufanye nini? Haitoshi kuhuzunika au kusikitika. Haitoshi hata kulalamika. Hao watoto sijui hatakama wanajua "alshaabab" ni nini au hata kitu kinachoitwa "Somalia" ni kitu gani. Najua kitu kimoja wana uhakika nacho; wana njaa!

Katavi;2284974]kwa kweli hali ni ya kutisha, na inabidi kuchukua hatua za haraka kuwaokoa wenzetu
Mzee Mwanakijiji;2288813]The question is what do we do?
H1N1;2292624]Tuanze leo mkakati wa kuwafikia hao watoto,ni aibu na nidhambi kuona chakula kinazagaa jikoni kwangu,huku watoto wakifa kwa kukosa hicho ambacho wanangu wanaonja na kukiacha...Something must be done now,through JF we can do something for these innocent kids
VoiceOfReason;2292707]Charity begins at home..., Africans can not even help oneself let alone a neighbour
MAMMAMIA;2288153]Mwanakijiji, Maxence, Wana JF wote, ninashauri tupitishe bakuli ndani ya JF
Nakubaliana na maoni yote, labda tufanye kitu kuliko kutazama. Tuwe na strategy mbili, kwanza kuwaambia wanaohusika kwa maandishi. Iandikwe barua kwa bunge, viongozi wa dini na serikali. Pili tuangalie sisi wenyewe tunawezaje kupeleka chochote kile hata kama ni biskuti moja kwa wahusika.

Nimeshangazwa kusoma habari kuwa wabunge wa bunge la nchi moja ya wamechanga wao wenyewe kusaidia hali hii.
Yupo atakayehoji barua zitasaidia nini, nasema heri ya anayesema kwa vile anajali kuliko kukaa kimya. I believe we can do something! mawazo zaidi.

Nguruvi, wako wapi wale viongozi vijana ambao tumehamasishwa kuwa ndio tumaini letu la sasa siyo la baadaye? maana kama wazee hawafanyi lolote si vibaya kuwategemea vijana.. well.. where are they?

Mwanakijiji na wenzangu wengine hapa ni kweli msaada unahitajika sasa lakini inabidi tufahamu kuwa sehemu hii yenye njaa sio Somalia yote bali ni eneo dogo la wilaya mbili ambazo ziko chini ya Al-shabaab ambao wako tayari watu hawa wafe njaa au wakimbilie nchi jirani ili kupunguza upinzani dhidi yao.Nilitembelea Somalia mwishoni mwa miaka ya 80 hawa watu ni wakakamavu ni huishi kwa mlo mmoja bila tatizo na ukiona hivi kweli mambo yamekuwa hovyo.Tatizo la Somalia kwa sasa linabidi Waafrika waamue kulitatua la sivyo madhara yake ni makubwa kiusalama na kibinadamu.

Ipo wapi OIC? Si wamejiunga hawa Nmejfunza kitu, Kumbe OIC sio suluhsho!

Makampuni ya simu yanaweza kutuongoza kwenye hili kupitia operation maalum ya 'SMS'. Kila sms unayotuma % fulani iwe ni maalum wa waafrika wenzetu wa Somalia. Na kama unavyosema Mwanakijiji, issue sio utajiri hapa bali ni kuunganisha nguvu na kuweka nia ya pamoja katika kutatua matatizo ambayo naamini (bila chembe) yako ndani ya uwezo wetu kama Continent. Nadhani tumekuwa na kasumba mbaya ya kuwa mstari wa mbele kwenye masuala ya kivitia i.e Tanzania walikuwa mbele kutuma majeshi Comorrow lakini ikija kwenye chakula inakuwa ni jukumu la mataifa ya Magharibi. Hii ni aibu kwa kila mwafrika. Maybe Tanzania can show leadership on this by initiatiating a nation wide compaign to raise funds, food for Somalia.

Ironically, kila mara tunasikia viongozi wetu wakitangulia kusema 'Mungu ibariki Africa, kabla hawajasema Mungu ibariki Tanzania"

Desperate: Seven-month-old Mihag Gedi Farah weighs just 7lbs and was hours from death after arriving at a field hospital in Dadaab, Kenya

Read more: Mihag Gedi Farah: Haunting face of East Africa drought, baby Mihag hours from death | Mail Online

Read more: Mihag Gedi Farah: Haunting face of East Africa drought, baby Mihag hours from death | Mail Online

Ukiondoa Kenya na baadhi ya nchi za karibu ambazo zimejikuta na wakimbizi wa Somalia hasa kutokana na baa la njaa ni nchi chache za Kiafrika zimejitokeza kutoa misaada - as a matter of fact sijaona bado ni nchi gani. Tumekuwa na haraka kweli tunapoona nchi za magharibi zinakuja kutuondolea madikteta wetu na kuwakemea mara moja - ooh tuachieni Afrika tutatue matatizo yetu. Hatuchelewi kupeleka ujumbe Libya, Ivory Coast n.k ili kujionesha kuwa tunaweza kutatua matatizo yetu na kusaidiana wenyewe.

Then comes Somalia. Ukiondoa matatizo mengine ya nyuma hakuna tatizo ambalo linagusa nafsi ya mwanadamu na utu wake kama njaa. Vita haikaribii njaa kwa madhara yake. Lakini inashangaza, hatujasikia viongozi wa Afrika wakimobilize watu wao kusaidia chakula huko! Hata sisi Tanzania hatujasema tunatoa japo msaada wa fedha au chakula - si kwamba hatuna uwezo. Lakini hadi hivi sasa ni hawa hawa wazungu tusiotaka watusaidie kwenye madudu yetu mengine wamekuwa tena wa kwanza na kwa nguvu zaidi kutoa misaada ya chakula.

Tatizo letu ni nini hasa? Wakati Somalia wanakufa njaa, sisi tulikuwa na mashindano ya kula sana pale Morogoro; wakati Somalia wanakufa njaa sisi tunaendelea na mizunguko ya Fiesta! Ooh sina tatizo na sherehe hizo au watu kufurahia lakini can we be a little bit responsible nation miaka 50 baada ya uhuru wetu? I'll share you a short story, hotuba ya Nyerere.

Najiuliza; were we in a better position to help our brothers in Kenya and Nyasaland (now Malawi) then than now? Kama matatizo ya uhuru tuliyaona yanatuhusu hivyo, je matatizo ya chakula hayatugusi hivyo? Najiuliza, kuna kiongozi yeyote Tanzania anayeweza kutoa wazo hili na kulisimamia simply kwa ajili ya utu wa mwanadamu? Si kwamba katiba yetu inasema "kila mtu (haisemi kila Mtanzania) anastahili haki ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake"?

Nauliza: Makanisa, na Misikiti yetu wako wapi kutekeleza wito wao wa kusimama na wale wenye njaa na shida? Nauliza, makundi ya vijana ma wanaharakati wetu, wako wapi?

Kwa upande wangu, I'll do something, the only little thing I know I can do. Siwezi kuangalia macho ya huyo mtoto na kuendelea kula kama kawaida. NI DHAMBI dhidi ya uanadamu wake.

hapo ulizia miskiti tu, kuna kanisa linaweza kuingilia himaya ya al-shabaab

Nguruvi, wako wapi wale viongozi vijana ambao tumehamasishwa kuwa ndio tumaini letu la sasa siyo la baadaye? maana kama wazee hawafanyi lolote si vibaya kuwategemea vijana.. well.. where are they?
MM nimekuwa nasimamia dhana ya uongozi kwa merits na si vinginevyo.Katika nchi yetu ujana unatumika kupamba CV lakini ukweli unababaki pale pale kuwa hao vijana bado wanasoma vitabu first edition 1950 hata kama sasa kuna 20th edition 2011.

Uongozi ni fikra zinazoambatana na matendo.Fikra hazina ukomo, zinaingalia dunia kwa ujumla wake. Kwa hili la Somalia nilidhani kuwa lingeangaliwa kwa upana na umuhimu wake kwa maisha ya wanadamu. Kama Kijana anayejinasibu kuwania uongozi huwezi kujua uchungu wa yanayotokea Somalia it is unlikely ukiwa magogoni utaelewa kinachotokea Mtwara, Bukoba au Sumbawanga.

Hili la Somalia ni upanga wenye pande mbili, ya kwanza kuwasaidia wanadamu wanaoteseka na kuonyesha upendo. Upande wa pili ilikuwa kuonyesha njia kama kongozi, hili lingewekana kama kijana anasoma edition 2011, sidhani kama ndivyo.

Nadhani tujishughulishe kufikiri namna gani tunaweza kufikisha chupa moja ya maji ya kunywa, vijana viongozi tutawasikia uchaguzi ukikaribia au ndani ya chaguzi za mabaraza yao. Tutaendelea kuhoji wamefanya nini kama vijana kabla hatujakubali dhana ya vijana tumaini la leo.

Nguruvi, wako wapi wale viongozi vijana ambao tumehamasishwa kuwa ndio tumaini letu la sasa siyo la baadaye? maana kama wazee hawafanyi lolote si vibaya kuwategemea vijana.. well.. where are they?

mkuu haohao vijana kuna ya kwetu bado wanayapgania na hawajafankiwa, umeme unasababsha vifo visivyo vya lazma?

Swali langu ni tufanye nini? Haitoshi kuhuzunika au kusikitika. Haitoshi hata kulalamika. Hao watoto sijui hatakama wanajua "alshaabab" ni nini au hata kitu kinachoitwa "Somalia" ni kitu gani. Najua kitu kimoja wana uhakika nacho; wana njaa!

Mambo ya ngoswe tumwachie ngoswe sisi Tanzania mchango tulioutoa wakati wa kukomboa Africa ulitosha. Somalia matatizo yao Wacha USA na UK wayatatue. Tuangalie shida zetu mbona ni wengi tu wanakufa Tanzania wakati hatuna njaa? Mbona wengi tu wanakosa huduma za msingi wakati hatuna njaa? Mbona Fisadi papa anajitajirisha na barrick wakati hatuna njaa? Mbona Fisadi papa anajenga hekalu wakati hatuna njaa? Mbona anaua raia wasio na hatia wakati hatuna njaa? Ni wakati wa kuelekeza mapambano ya kumtoa Fisadi papa magogoni wakati hatuna njaa.

Tuliona na kusikia Waislamu hapa TZ na kwingineko wakiandamana kulaani/ kupinga mashambulizi ya NATO huko Libya na Afghanistan etc kwa madai kuwa mashambulizi hayo yalilenga kuwauwa Waslamu.

Tuliona pia jinsi waislamu walivyoandamana kumlaani yule mchora katuni wa Denmark. Hata hapa juzi tumeona TZ wakitaka kuandamana kupinga kuuwawa kwa Osama Bin Laden.

Swali moja najiuliza, kwa spirit hiyo ya kuwapenda na kutetea waislamu walioko hapa duniani, mbona sioni Waislamu wakiandamana kutaka kuwasaidia waislamu wenzao wanaokabiliwa na njaa Somalia na Kenya Kaskazini. Maana kufa kwa njaa kunazuilika kama vile tunavyoandamana kuzuia mashambulizi ya NATO na Marekani

Tena ajabu kubwa nimeona Aljazeera TV na BBC, na KTN wale wahanga wakiomba mataifa ya Makafir ya Marekani na Ulaya wawasaidie kupata chakula. Mbona hawaombi nchi za Saudi Arabia, Pakistan, Iran au Sudan au OIC wawasaidie?

Ni tafakari tu..................

mkuu mbona ukurupuka! tuliza mzzuka waislamu wanaiangalia hii issue kwa umakini sana! kuna facebook groups waislamu wanachangishana... kuna african muslim agency! kuna OIC ..

soma hapa Islamic aid groups meet to help Somalia - Africa | IOL News | IOL.co.za

http://africawitness.wordpress.com/2011/07/24/thank-you-for-helping-somalia/

Mbona kwenye Kulaani marekani au Uvamizi Libya hamkuyafanya huko kwenye Facebook tu? Muonyeshe solidarity yenu andamaneni tena kwa HASIRA kubwa ya kupinga njaa mchangishe pale MWEMBECHAI pesa ya kufa mtu mkawatoe njaani waislam wenzenu wanaoteswa na waislam wenzenu ALSHAABAB kule Somalia!!

Mbona kwenye Kulaani marekani au Uvamizi Libya hamkuyafanya huko kwenye Facebook tu? Muonyeshe solidarity yenu andamaneni tena kwa HASIRA kubwa ya kupinga njaa mchangishe pale MWEMBECHAI pesa ya kufa mtu mkawatoe njaani waislam wenzenu wanaoteswa na waislam wenzenu ALSHAABAB kule Somalia!!

naona umekuwa msemaji wa waislamu...

jamaa ameuliza swali nimemjibu zipo initiatives zinafanywa! kuhusu waislamu wa tanzania sijajua bado "sipo tzn .. so sijui lolote about mwembe chai & initiatives zao" ... sasa man unataka watu waandame kwanini kuna njaa! are u serious ..?! kuhusu Alshabab they might call them selves muslimas but they are NOT! ...

Actions speak louder than words mashirika ya kiislamu .. yapo na yanasaidia swala zima la njaa kama hizo link nilizoonesha hapo juu! kama weye unaona hadi waandamane ndio uridhike! basi umekula kwako! waislamu tuna akili sio watu wa kukurupuka tu! eti tuandamane kwa ajili kuna njaa! u must be kidding me !

hatujalala waislamu http://uwt.org/site/default.asp

Vipi sasa wale waislamu wanaoomba Marekani isaidie............mbona hawaombi nchi za kiislamu/ zenye waislamu wengi?

Hebu tuaangalie hapa TZ.............kama hapa Dar waliandamana kulaani uvamizi wa Libya, mbona hawa rally kusaidia Somalia. Kama unasema Alshababby sio waislamu basi itakuwa ngumu sana kuamini yupi ni mwislamu wa kweli.

ALshababy/ Al QAIda wakiuua Wamarekani.....wanakuwa wanatetea waislamu na Uislamu..............wakiuua Waislamu wenzao ....hapo sio waislamu.

Imenikumbusha huu msemo: Ingwina yalya Umuntu Bhalela,,,,,, bhala Ingwina bhaseka..............

Hakuna muislamu anaeweza kukujibu swali hili. Juzi al shabaab wamepiga marufuku kula sambusa Somalia. sasa wale wasomali ni waislamu tupu mbona hiyo OIC wanayoipigia kelele tujiunge nayo hapa kwetu siioni msaada wake?

Na kwataarifa wanakula chakula kilichosagwa kwenye mitambo inayosaga nguruwe pia,ndo uwezo wao wa kufikiri ulivyomkekani,LEO ALSHABAAB SIYO WAISLAM WAKATI WAKIUUA WAISLAM WENZAO,ILA AKIUA MMAREKANI NI MUISLAM, HII IMAN BANA MATATIZO MATUPU

Vipi sasa wale waislamu wanaoomba Marekani isaidie............mbona hawaombi nchi za kiislamu/ zenye waislamu wengi?

Hebu tuaangalie hapa TZ.............kama hapa Dar waliandamana kulaani uvamizi wa Libya, mbona hawa rally kusaidia Somalia. Kama unasema Alshababby sio waislamu basi itakuwa ngumu sana kuamini yupi ni mwislamu wa kweli.

ALshababy/ Al QAIda wakiuua Wamarekani.....wanakuwa wanatetea waislamu na Uislamu..............wakiuua Waislamu wenzao ....hapo sio waislamu.

Imenikumbusha huu msemo: Ingwina yalya Umuntu Bhalela,,,,,, bhala Ingwina bhaseka..............

Man mbona hutaki kuelewa misaada waislamu wanatoa .. ya pesa, chakula , + dua .... yaani mpaka waandamane ndio ukubali..?! misaada ya waislamu wa tanzania kwa somalia inapitia mashirika ya kiislamu! mfani AFRICA MUSLIM AGENCY! wapo tabata pale .. waislamu sio watu wa kujivuna kwamba ohh fulani katoa millioni kadhaa!... dini yetu haitaki hivo..

kuhusu Alshabab! ... waislamu wengi hatuwakubali alshabab.. kumbuka kulikuwa na maandamano ndani ya mogadishu kuwapinga alshabab! sasa kama waislam wanasema wale si ndugu zetu .. alafu weye kafiri una ng`ang`ania ni ndugu zenu! .. sijui ni kwambie nini hapo...

Hakuna muislamu anaeweza kukujibu swali hili. Juzi al shabaab wamepiga marufuku kula sambusa Somalia. sasa wale wasomali ni waislamu tupu mbona hiyo OIC wanayoipigia kelele tujiunge nayo hapa kwetu siioni msaada wake?****

****... kuhusu misaada serikali ya za kiislamu zinatoa misaada sema ni kimya kimya ! dini yetu hairuhusu kujigamba .. baada ya kumsaidia mtu ...

JEDDAH – (Sh. M. Network) – King Abdullah, Custodian of the Two Holy Mosques, has ordered $60 million in aid to help the Somali people with food and medicine.
The King also directed all agencies to spare no effort in providing quality services for Umrah pilgrims and visitors to the two Holy Mosques. He was speaking at the weekly Cabinet meeting where ministers reviewed services in Makkah and Madina.

Cabinet also condemned the terror attacks in Norway.

The ministers welcomed the start of the International Islamic Conference organized by the Muslim World League. They underlined the importance of the King's speech, which called for scholars to work out a well-defined Islamic program to tackle the Ummah's problems and ensure moderation prevails in the Muslim World.

Chairing the weekly Cabinet session, King Abdullah briefed the Council of Ministers on his talks with President Asif Ali Zardari of Pakistan, stressing the continuing deep-rooted relations between the two countries.

In a statement following the session, Dr. Abdul Aziz Khoja, Minister of Culture and Information, said Cabinet members reviewed reports on the development of events in a number of Arab countries and in the international arena and pointed out the Kingdom was worried about the continued loss of life as a result of the political upheavals.

He said the Kingdom has appealed to all parties to seek peaceful solutions.

It also called on all warring Somali factions to denounce their differences and stop fighting immediately to pave the way for humanitarian aid and relief to rescue the Somali people.

The members lauded the King's order for allocating $50 million for purchasing food for the Somali refugees to be delivered by the International Food Program in addition to $10 million to secure medicines and vaccines in coordination with the Saudi Minister of Health and World Health Organization.

The King also issued directives to provide shipments of dates for the Somali refugees in collaboration with the ministries of Finance and Agriculture.

The Cabinet condemned the seizure of the French ship Dignity by the Israeli authorities which was carrying relief materials to the Palestinians. It also strongly denounced the terrorist acts experienced by the Norwegian people which resulted in several deaths and injuries.

The Cabinet also praised the King's generous gesture of increasing the fodder subsidy by 50 percent.

Na kwataarifa wanakula chakula kilichosagwa kwenye mitambo inayosaga nguruwe pia,ndo uwezo wao wa kufikiri ulivyomkekani,LEO ALSHABAAB SIYO WAISLAM WAKATI WAKIUUA WAISLAM WENZAO,ILA AKIUA MMAREKANI NI MUISLAM, HII IMAN BANA MATATIZO MATUPU

hivi marekani hakuna waislamu! ..... ?! eti chakula kinasagwa na mitambo ya nguruwe ...! mkuu shirikisha ubongo wako wote katika kufikiri..

Njiwa,
Nauliza kuhusu Waislamu wa Tz......................
Nauliza Mbona wale waislamu walikuwa wanaomba Marekani iwasaidie
Naomba unisaidie basi vikundi vipi ambavyo ni Jihadists ambavyo ''waislamu'' mnavikubali. Mimi najua Masheikh , Maimuma wengi tu Somalia wanaunga mkono Alshababy

Back
Top Bottom