Njaa Somalia: Je, Tanzania itoe msaada kwa hawa wenzetu?

Tuliona na kusikia Waislamu hapa TZ na kwingineko wakiandamana kulaani/ kupinga mashambulizi ya NATO huko Libya na Afghanistan etc kwa madai kuwa mashambulizi hayo yalilenga kuwauwa Waslamu.

Tuliona pia jinsi waislamu walivyoandamana kumlaani yule mchora katuni wa Denmark. Hata hapa juzi tumeona TZ wakitaka kuandamana kupinga kuuwawa kwa Osama Bin Laden.

Swali moja najiuliza, kwa spirit hiyo ya kuwapenda na kutetea waislamu walioko hapa duniani, mbona sioni Waislamu wakiandamana kutaka kuwasaidia waislamu wenzao wanaokabiliwa na njaa Somalia na Kenya Kaskazini. Maana kufa kwa njaa kunazuilika kama vile tunavyoandamana kuzuia mashambulizi ya NATO na Marekani

Tena ajabu kubwa nimeona Aljazeera TV na BBC, na KTN wale wahanga wakiomba mataifa ya Makafir ya Marekani na Ulaya wawasaidie kupata chakula. Mbona hawaombi nchi za Saudi Arabia, Pakistan, Iran au Sudan au OIC wawasaidie?

Ni tafakari tu..................

Waislamu will never achieve anything labda kujilipua ili waende Ahera. Akili chafu, unajilipua eti utakwenda mbinguni. Mbingu ya wapi utaenda unaua wasio na hatia. Hawaandamani kuwasaidia wenzao somalia,
 
Lolote linalosimama kwa misingi ya uongo huwa halina maisha! Guys, tuijenge nchi yetu kwa msingi wa kuheshimiana. Udini ambao watu wanaona fahari kuutukuza hauna mpango wowote. Sana utawalaza watu njaa tu kama unavyofanya Somalia. samini Alshaabab ni watu wanaojua dini...wale ni wahuni wanaotumia mafundisho ya dini kuficha maovu yao
 
wandugu zangu waislamu munyaaz mungu akijalia bas keshokutwa tunaanza kubadili ratiba ya kupata swadaka ''mlo'' badala ya kula asubuhi/ mchana tutakuwa tunakula jioni mpaka usiku wa manane..

Leo na kesho ndio siku za kujiachia ''vunja jungu'' kwaio nawasisitiza tunywe sana ''ngano'' mpaka baa zikauke, tuchome sana ''mdudu'' mpaka mabucha yakauke...Inshallaah! iyo ni sunna ya mtume
 
Kumbe HAMAS iNATAKA KUKOMBOA PALESTINA NA SIO KUISHI na Israel kama jirani zao! Kukomboa Palestina ina maana ni kuwafutilia mbali waisrael na kuwatupa Baharini. MImi nawaunga mkono PLO ambao wanataka nchi mbili na kuwekeana mipaka na Israel. Kuhusu Somalia Kila mtu kawachoka duniani. Kumbuka hata OAU iliwahi kuwaweka meza moja makundi yanayopigana ili iliwapatanishe. Lakini wale jamaa pale mezani walizichapa ngumi sana mbele ya mpatanishi wa OAU wakati huo. KIla wakipatanishwa wao hawataki sijui mpaka leo wanachogombea ni nini.NJaa kali sana kule somalia lakini watu duniani wamechoka na hao wasomali kutotulia nchini mwao. Unaju hii yote somali ni laana ya Kuichukia Israel. Mwaka 1976 somalia ilihusika na kuwatrain magaidi walikwenda teka nyara Ndege ya Ufaransa iliyokuwa na wayahudi 126 na kuwapeleka Entebe. Halafu Ubalozi wa somali nchini Uganda ulikuwa msemaji mkuu wa magaidi. Mwisho Israel iliwakomboa raia zake, Somali Iliwatukana sana sana waisrael na ilitaka walaaniwe UNO. Abraham aliambiwa , atakaye kulaani nani nitamlaani, na atakaye kupenda nami nitampenda. Ona sasa somalia na Iddi amin yaliyowakuta.
 
ulikuwa umeharibu hali ya hewa.. mboa hii haijafutwa?
<br />
<br />
post sita zote zimefutwa,kwamba somalia ni mfano wa uongozi wa vichaa na mazuzu duniani unaotumia dini kuhalalisha uongozi wa wendawazimu kwa mlango wa dini ya munyazi mungu wao! Sijawahi ona allah anapenda vita kama allah wa wasomali! Allah wao hataki mchezo anawaua wafuasi wake mwenyewe
 
kwani wakristo wameandamana kulalamikia njaa au kutaka wasaidiwe watyu wanaokufa na njaa kaskazini mwa Kenya. Kwani wanaotaabika na njaa kaskazini mwa Kenya au Ethiopia ni Waislamu tu?

Nashangaa kwa nini wameshikilia Waislamu tu wakati wako wengine jamii ya Turkana na sehemu za Ethiopia nao wanakufa njaa vile vile. Maskini joto la roho limewashika wana lazima Waislamu watangaze kwenye radio kwamba wanasaidia.
 
Waislamu will never achieve anything labda kujilipua ili waende Ahera. Akili chafu, unajilipua eti utakwenda mbinguni. Mbingu ya wapi utaenda unaua wasio na hatia. Hawaandamani kuwasaidia wenzao somalia,

Haya basi mwache mkristo mwenzenu yule Mnorway alipue wengine halafu aseme alipata kichaa cha muda. Kwani wote si wauwaji tu?
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
post sita zote zimefutwa,kwamba somalia ni mfano wa uongozi wa vichaa na mazuzu duniani unaotumia dini kuhalalisha uongozi wa wendawazimu kwa mlango wa dini ya (munyazi) mungu wao! Sijawahi ona allah anapenda vita kama allah wa wasomali! Allah wao hataki mchezo anawaua wafuasi wake mwenyewe
Munyazi, hili ni zao la shule za kata! Ahahaha
 
Tatizo la waislam ni kutokubali kwamba wao ni dhaifu na kuwa wana mengi ya kujifunza toka kwa wakristo,ukweli utabaki palepale kwamba Ukristo ni kama kioo,ili muislam ajione kuwa yuko sawa au la ni lazima amwangalie mkristo badala muislam mwenzie,huu ni udhaifu mkubwa wa ndugu zetu hawa
 
kweli ni aibu kubwa sana kama nchi kama China ina more than 1.4billion people lakini hakuna njaa sisi kama bara tuko 6oomillion na tunakila kitu ndani ya nchi zetu lakini kutona nasababu ambazo ziko ndani ya uwezo wetu hatutaki kutekeleza mawazo ya wataalamu wetu, tunabakia kuwaombaomba,kusikiliza wanasiasa wanasema nini wanaongelea nini tufike sehemu tubadilike maana sio kweli hatuwezi tokomeza njaa katika bara la Afrika inawezekana kabisa ikawa history maana tuangalieni mfano kwa nchi yetu mtakubaliana na mimi mlioweza kuitembelea mikoa kama Morogoro, iringa,mbeya,rukwa, ruvuma, utaona vyakula vilivyo vingi lakini kwa sababu hatuwekei manani katika kuvitunza ndio maana tunalia njaa. lingine nikutelekeza many project tulizozianzisha kwa gharama kubwa nakuwapatia wawekezaji huku uzalishaji wao hauendani na ukubwa wa aridhi walionayo napengine hata kuibadilisha kutoka katika matumizi ya awali kuweka kitu kingine kabisa kwa mfano kapunga rice farm project walitaka kuweka mibono kwa ajiri ya mafuta na serikali ilikuwa kimya kam sio wananchi kupiga kelele mpaka leo hii ingekuwa walisha badilisha hilo shamba
 
Painkiller angalia hawa wanaopotosha juu ya uislam eti unahamasisha ubakaji, nimejaribu kumjibu mtoa mada lkn ume - delete post yangu, lengo ni kuelimishana tu na kuondoa ushabiki na wala si uchochezi
Marehemu mtume Muhamad alioa binti wa miaka 9, sasa huu kama sio ubakaji wewe unataka tuuitaje? je wewe unaweza kukubali binti yako wa miaka 9 aolewe badala ya kwenda shule?
 
Tumetoa ngapi za MAHINDI, NGANO?
vipi tumewapa na MAHARAGWE?

Tunatoa msaada mwingi sana kwa Somalia hata kabla ya njaa kutangazwa, tuna kambi za wakimbizi wa Somalia ndani ya Tanzania, mbili kama sikosei, tunazihudumia kwa hali na mali na tunawafundisha askari wa Somalia kwa hali na mali. Huo ni msaada zaidi ya kumpa mtu tonge.
 
Marehemu mtume Muhamad alioa binti wa miaka 9, sasa huu kama sio ubakaji wewe unataka tuuitaje? je wewe unaweza kukubali binti yako wa miaka 9 aolewe badala ya kwenda shule?

Hypocrisy of Jews & Christians

It is quite hypocritical of Jews and Christian to criticize the marriage of Aisha. Talmud (Jewish scripture) says:
"Marrying off one's daughter as soon after she reaches adulthood as possible, even to one's Slave. (From the Talmud, Pesachim 113a)"
As we discussed, in biblical times adulthood could refer to the age of Puberty or even younger age.
Regarding the Marriage of Mary to Joseph, Catholic Encyclopaedia ( CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: St. Joseph), says:

"When forty years of age, Joseph married a woman called Melcha or Escha by some, Salome by others; they lived forty-nine years together and had six children, two daughters and four sons, the youngest of whom was James (the Less, "the Lord's brother"). A year after his wife's death, as the priests announced through Judea that they wished to find in the tribe of Juda a respectable man to espouse Mary, then twelve to fourteen years of age, Joseph, who was at the time ninety years old, went up to Jerusalem among the candidates; a miracle manifested the choice God had made of Joseph, and two years later the Annunciation took place."

Note: That article on Catholic Encyclopaedia obtains its information from early
Christian writing including apocryphal writings. The Catholic Encyclopaedia goes on to conclude "...retained the belief that St. Joseph was an old man at the time of marriage with the Mother of God." If Christians do not find any difficulty in accepting "Mother of God" (according to Catholic Encyclopaedia), who was 12-14, marrying a 90 year old man then why do they raise objection towards the marriage of Aisha (RA) to the Prophet?
 
Back
Top Bottom