Njaa mbayaaaaaaaa!!!

Huo unaitwa mlango wa gereji! Manaake hata sio mwanya....
 
Duh!masikini ya mungu,jamaa amechoka vibaya sana!
 
Mkuu huyu yu hai au ameshatutoka?maana sioni dalili za uhai!
 
huyu sio njaa ni teja tu na sio la mapenzi
 
kuna mtu huwa anaitumia picha hii kama avatar yake ,sijui nani?ngoja nimtafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…