Njaa inakuja, Serikali CCM imejiandaaje???

Duh! Mpwa sema tu umejisikia kunitusi! Haina shida ni sehemu ya malezi na makuzi yetu. Asante pia kwa kuona point niliyoleta!
 
Wakati unafanyika udhibiti wa kuuza mazao ya chakula nje ya nchi ulielewa nini???
Kwamba Mvua hazitanyesha na kutakua na njaa au kuwa walikua wanaweka mazingira ya ukusanyaji kodi???!!
 
Kiroba cha unga wa DC ni sh.35000 chenye klo 25,,,na cement yenye kilo 50 tsh,15000,,,,bora utangulie kujenga kuliko kula
 
Duh! Mpwa sema tu umejisikia kunitusi! Haina shida ni sehemu ya malezi na makuzi yetu. Asante pia kwa kuona point niliyoleta!
Hahahahahaa edit kichwa cha habari hapo juu..
 
Hali si nzuri..... Jua linawaka sana. Kipindi hiki cha sikukuu hua kinaambatana na mvua kidogo. Sidhani kama wanaolima mabondeni wamepata chakula msimu huu.
 
Hali ni mbaya kila mahali, kunatisha yaani kama mfanyabiashara alihifadhi chakula basi msimu huu atauza saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…