Njaa Haina Adabu

Njaa Haina Adabu

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,102
FB_IMG_1527705791607.jpg
 
Kijijini huko,na kijani chote hicho,njaa inatoka wapi?
 
Magwanda hayo kufanya nje ya kazi yake.Hana discipline anaweza lishwa hata chakula chenye madawa ya kulevya akiwa lindo na kuporwa!

Ni kweli anayoyafanya ni tofauti na kazi yake hata hivyo sidhani kama alikuwa anataka kula hilo tunda, hapo pembeni mkono wetu wa kulia kuna mtoto ambae nadhani ameomba asaidiwe kuangua hayo matunda.
 
tatizo watu wamezoea town wanakula maembe yaliyopakwa pilipili na chumvi, lazima ashangae wa kijijini wanakula kutoka kwenye mti moja kwa moja
 
Watu wenye njaa wangekuwa na siha njema kiasi hicho, basi tungefika mbali
 
Hahahahaaa hata kama njaa hii imezidi 😀😀😀😀😀😀😀.
 
huu ni uchochezi wa waziwazi, hahaa ayo maembe ya bure ndio maana unaona kamanda kayakomalia..
 
Back
Top Bottom