Shindwa mwenyewe ......!!
huhuhuuuu! penda sana hii kitu! kanga moko ndembe ndembe! mbona unasahau kabisa kama kuna kazi! hukumsalimia huyo binti hata adondoshe sabuni tu?huku amejifunga kijikanga kimoja tu
huhuhuuuu!
daaaah...! bahati hizi jamani! yani huyo jioni tu angekuwa kichuri changu bila pingamizi!huku khanga hiyo ikishindana nguvu na maji ambayo yalikuwa yanailazimisha ikamatane na mwili
kutiana migenye tu mida ya kazi!
huhuhuuu! Mitego mingine kujinasua itahitaji maombi yasiyoisha!
hivi hivi utakuta unatia moyo mtaa mzima! huhuhuuuu!
huhuhuuuu! penda sana hii kitu! kanga moko ndembe ndembe! mbona unasahau kabisa kama kuna kazi! hukumsalimia huyo binti hata adondoshe sabuni tu?
huhuhuuuu!
daaaah...! bahati hizi jamani! yani huyo jioni tu angekuwa kichuri changu bila pingamizi!
kutiana migenye tu mida ya kazi!
huhuhuuu! Mitego mingine kujinasua itahitaji maombi yasiyoisha!
hivi hivi utakuta unatia moyo mtaa mzima! huhuhuuuu!
Umeona hapo tu ......!!
Hahahahahahaaaaaaa!!!!!
huhuhuhuuuu!
hata wakoloni walikuja africa kwa malengo maalum! huhuhuuu!
na mimi nasoma thread kwa target maalum bhana!
kwema lakini kijana? nimempenda huyo dada aisee, soon naja mwanza, ntakutafuta umtafute unitafutie! huhuuu!
Huyu hapa ....