Njaa bana!

Nakubaliana na wewe kama mtu ataoa kwa tamaa za kutaman chakula ndoa haitafika popote
Kwa maana kila akihis njaa ataendelea kutaman vyakula vingine.
ICHANA wengi wa vijana wako kwenye mawazo hayo na wanaingia kwenye ndoa kwa sababu hiyo ya kupata chakula na kushiba kila siku bila kujua kuwa hata kile chakula kinahitaji kupikwa vyema na kuongezewa viungo ili kiendelee kuwa kitamu kila siku
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kama MTU ataingia kwenye ndoa kisa njaa au kutaman mtoto
Hiyo ndoa haitadumu

Lazima ufanye maamuzi na uamue kuvumilia raha na karaha , shida na furaha, masika na kiangazi
Ujitambue sio kisa mwenzio kakuambia yeye ndoa yake imeshikiliwa na njaa au upendo Hapana
Kufanya maamuzi na kukubali yote utakayoenda kupata huko ndani
 

Haya hayawezi kuwepo kama lengo la ndoa ni jambo lingine

Kabla ya kuingia ndoani ni muhimu ukajua unachokifanya na uzito wake!
 
Nina jiran yangu anaoa Leo mke uji chezea njaa ya mwezi mtukufu wewe!! Ikiisha hiyo na ndoa kwishaaaaaa

Ni kweli maana lengo ni mwezi mtukufu tu

Na haya ni moja kati ya mambo ya hovyo zaidi kufanyika

Unaoa kwasababu ya siku 29??!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ICHANA wengi wa vijana wako kwenye mawazo hayo na wanaingia kwenye ndoa kwa sababu hiyo ya kupata chakula na kushiba kila siku bila kujua kuwa hata kile chakula kinahitaji kupikwa vyema na kuongezewa viungo ili kiendelee kuwa kitamu kila siku

Hilo ni kosa na ndo mana ndoa hazidumu mkuu nimemwambia kitu " quality chakula " sio kazi rahis kiivyo
Lazima pande zote zishiriki.
Kama mtu anaoa bila maamuzi na kujitambua
Ajue majukumu yake as mke or mume
 
Last edited by a moderator:
Sawa lakini unadhani kama kula ndio kigezo kikubwa kukinai nako kupo

Unasema je kwenye kukinai?

kwenye kukinai unabadili mapishi au chakula mara kwa mara.....teh teh teh michepuko ndio maana haiishi inarudisha appetite kwa misosi tulioizoea na kukinai
 
kwenye kukinai unabadili mapishi au chakula mara kwa mara.....teh teh teh michepuko ndio maana haiishi inarudisha appetite kwa misosi tulioizoea na kukinai

Dah ..........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama ni njaa tuzitulize tu kwa mamalishe, kwa kuwa tukioa kwa ajili ya kuondolewa njaa/kiu zetu tutajikuta ndani ya siku kadhaa tunakinai
 
mapenzi ,Njaa , upweke , uhitaji , utulivu , mashinikizo , mkumbo n.k...........

japo kuna wakati pia ndoa inashindwa kuondoa njaa kabisa.
 
Kama ni njaa tuzitulize tu kwa mamalishe, kwa kuwa tukioa kwa ajili ya kuondolewa njaa/kiu zetu tutajikuta ndani ya siku kadhaa tunakinai

Kweli kabisa mkuu

Ndoa ni zaidi ya kuondolewa njaa!!
 
mapenzi ,Njaa , upweke , uhitaji , utulivu , mashinikizo , mkumbo n.k...........

japo kuna wakati pia ndoa inashindwa kuondoa njaa kabisa.

Hiyo bold nimeipenda sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…