Nizingatie nini na kwenda kuonana na ndugu wa binti wa kimeru

Mbona mwatisha watu?

Sikutishi...

Nimeishi Arumeru enzi hizo za kupata elimu, hivyo nimekusanua kwa nia njema kabisa, nimeshaona ndoa ambazo kuna wanawake wa kimeru...

Wanawake wa kimeru hawana utofauti sana na Wakikuyu (Kenya), Wamachame, Warombo au Wakibosho...

Kama huwezi vumilia tabia za ki-alpha female basi usioe hayo makabila...

Lakini kama unaweza kuishi kwa utemi utemi, basi oa...
 
Ndugu ulipo taja wa kibosho hapo sasa nimeelewa. Hata uwe mwanaume chuma vipi kwa hawa Wanawake wa kibosho hutoboi hakika atakuzika usipo kua makini au zezeta

Hawa wanawake wa kibosho ni watu wa hasira, visasi, chuki, dharau, tamaa, hawana heshima wala hawasikilizi chochote kile wao wanafata njia zao wenyewe hatakama kuna hatari ya kufa ukimwambia akubali mpaka afe ndiyo atasadiki,

Wanawake wa kibosho wanakiburi sana hata moto wa petrol hauoni ndani, wana malipizo sana ila kimnyakimnya anakuchinja walahi, wakorofi sana alafu wanajificha kwenye mgongo wa kujifanya wacha Mungu.

Mimi kuliko nioe mkibosho bora ni nunue mdoli wa Elon Musk

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kua na mpenz Mmeru,...nilichojifunza ni kuwa;
1.Waaminifu(ngumu sana kuchepuka).
2.Wana misimamo hata kama wanachosimamia hakina maana.
3.Sio wepesi kushuka na kuomba msamaha hata kama kakosea anataka wewe ndio ushuke...yuko tayari alie ila sio kuomba msamaha.
4.Wana wivu(halali hata kama ni saa 8 usiku mpk ajue uko wapi na uko sehemu salama)..kaa mbali na michepuko.
5.Wana hasira kali sana(wakikasirika hawaongei,atakaa kimya)
6.Ni warembo sana na wasafi,wanajipenda.
7.Hawana tamaa sana,ukimpa hata kidogo wana shukuru...hawa demand vitu vikubwa.
N.b...nilishindwa tabia ya kutoshuka pale anapokosea,ikabidi kila mtu aendelee na maisha yake....thank you Angel for your time.
 
Mimi nimemwambia hivyo hivyo kajifanya kusema Mimi ni muongo!
 
Mbona mnatuchanganya ni wa kibosho au wa machame?
 
Wameru ndio wanajiita wairuck sasa ukimchunguza sana bata kumla hutawezawe chukua chombo iyo konyo😄
 
Niliwahi kua na mpenz Mmeru,...nilichojifunza ni kuwa;
1.Waaminifu(ngumu sana kuchepuka).
2.Wana misimamo hata kama wanachosimamia hakina maana.
3.Sio wepesi kushuka na kuomba msamaha hata kama kakosea anataka wewe ndio ushuke...yuko tayari alie ila sio kuomba msamaha.
4.Wana wivu(halali hata kama ni saa 8 usiku mpk ajue uko wapi na uko sehemu salama)..kaa mbali na michepuko.
5.Wana hasira kali sana(wakikasirika hawaongei,atakaa kimya)
6.Ni warembo sana na wasafi,wanajipenda.
7.Hawana tamaa sana,ukimpa hata kidogo wana shukuru...hawa demand vitu vikubwa.
N.b...nilishindwa tabia ya kutoshuka pale anapokosea,ikabidi kila mtu aendelee na maisha yake....thank you Angel for your time.
umetiririka vizuri mkuu.... nafuata nyayo zako,ila mimi ntarekebisha uliposhindwa mambo yaende sawa sawia
 
Habari ndugu zangu..

Mimi kijana wenu sipingi ndoa maana ndoa kwangu ni baraka, hivyo nimekusudia kwa akili zangu timamu kuoa.

Siku kadhaa nilileta kwenu huu uzi kuomba ushauri wa hali na mali napia nashukuruni sana ndugu zangu kwa kunishauri kijana wenu.

""( Nataka kumuoa huyu binti ila tabia zake zinatetemesha)""

Kiukweli kwa upande wangu binti nimemuelewa sana na yeye amenielewa sana na pia anajielewa vizuri tuu , tatizo lipo kwenye mawasiliano baina yangu na yeye. Kwani siku zote mimi ndiyo mwanzilishi wa mawasiliano tofauti na hapo hakuna kitu

Kutokana na tabia zake njema na kujisitiri kwake nimefikiria kumuoa ila swala la changamoto ya mawasiliano naona labda ni kwa vile nimempita sana umri kwa takribani miaka kumi (10) ndiyo maana anashindwa kujua cha kuongea na mimi sipati majibu kabisa.

Mtoto nimemuelewa nataka niende nikapeleleze kwao ana kwa ana, mguu kwa mguu kijanja kijanja maana nimekua ni mtu wa kukutana tuu njiani na ndugu zake hivyo nataka niende kwao huko Arumeru niombeeni nifike na kurudi salama kijana wenu.

Naenda kama envoy na pia nita act kama spay chapu kwa chapu. nafikiria kwenda mwenyewe ila document zangu muhimu nitazibeba ili kujilinda likitokea lolote lile maana maboma ya watu siku hizi haya aminiki kabisa kabisa.

Pia binti nime muambia aniwekee security ya kutosha kama ikitokea tafarani .

Wakuu na ndugu zangu naombeni kujua ni nini kingine cha maana cha kuzingatia ndugu zangu ili hali naenda mwenyewe huko kwao Arumeru kupeleleza kwa kuzingatia wameru ni wakorofi sana hasa kaka zao?

Mimi binti yao nimemuelewa sana nataka nimuweke ndani na awe mke wangu halali. Shida ya mawasiliano baina yangu na yeye nataka kuikata kijeshi namna hiyo .

Natanguliza shukrani zenu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwanza nikupe Hongera kwa Nia kutaka kuoa,inaonyesha ni kw a Jinsi gani unahitaji kujenga familia na mwezi wako
Turudi kwenye Mada,unapoingia mw

1.Hongera kwa kupevuka Hadi kufikia kuoa
2.Kwa kuwa umekubali kupevuka zingatia msimamo wako bila kuyumbishwa na watu tofauti tofauti vinginevyo utayubishwa Sana
3.Zingatia hakuna kabila lisilo na changamoto,nenda upareni utaambiwa neno nenda kwa wazaramu utaambiwa neno,nenda kwa wahaya,wanyakyusa wachaga wasukuma kote huko kuna changamoto.Swala tabia Mara nyingi linategemea na malezi ya nyumba husika/Boma husika
4.Ikiwa unahitaji kuoa Mmeru,nakushauri fuata hizi dondoo,Kabla ya kwenda huko tafuta rafiki wa kimeru au mzee wa kimeru wa eneo lako uanze kumuuliza Mambo kadhaa kuhusu huko ukikosa nenda face book kuna group la wameru kule linaitwa meru news utakutana na mashemeji zako wengi sana kule kama mjanja unaweza ukapata mmoja mkachati sana na akakuunganisha na Mmeru mwingine karibu yako
5.Baada ya kupata rafiki hapo utaanza kufanya kautafiti kadogo na kufahamu ni Koo gani zipo meru na tabia zao mfano Nnko,Mbise,Mafie,Pallangyo n.k
6.baada ya kujua Hilo,ingia ndani zaidi na kufanya upelelezi wa kina juu ya nyumba unayoenda kuoa,kwa kutumia hao hao ma connectors!
Nasema hivi kwa sababu ni vizur sana kujua familia ikoje!? Wazazi wapoje hasa Mama ,Kumbuka vile alivyo Mama ndivyo alivyo mwanaye.
Nb;
Ukibahatika kupata Boma zuri na nyumba nzuri kwa Wameru utaona Dunia yote ya kwako uta enjoy Sana Best,but if not you will suffer consequences
 
Niliwahi kua na mpenz Mmeru,...nilichojifunza ni kuwa;
1.Waaminifu(ngumu sana kuchepuka).
2.Wana misimamo hata kama wanachosimamia hakina maana.
3.Sio wepesi kushuka na kuomba msamaha hata kama kakosea anataka wewe ndio ushuke...yuko tayari alie ila sio kuomba msamaha.
4.Wana wivu(halali hata kama ni saa 8 usiku mpk ajue uko wapi na uko sehemu salama)..kaa mbali na michepuko.
5.Wana hasira kali sana(wakikasirika hawaongei,atakaa kimya)
6.Ni warembo sana na wasafi,wanajipenda.
7.Hawana tamaa sana,ukimpa hata kidogo wana shukuru...hawa demand vitu vikubwa.
N.b...nilishindwa tabia ya kutoshuka pale anapokosea,ikabidi kila mtu aendelee na maisha yake....thank you Angel for your time.
Mkuu, mie NAKAZIA hapa.
Ceftriaxon amemaliza almost kila kitu. Btw nimeoa kule Nkoasenga, King'ori.
 
Back
Top Bottom