Niyonzima atua Simba

Status
Not open for further replies.
Mkuu sijaleta utani bhana.
Nimenogesha story ili uzi wako ukimbize,si ndio lengo lako au?

lengo langu ni kufikisha habari kwa wanamichezo, na ni habari njema kwa wanamsimbazi, najua ujapenda ila ndo ivo tafuteni wa kuziba pengo
 
Ungekuwa unanifahamu physically nadhani ndio ungeamini...nakueleza kuwa Niyonzima unayemtaja hapa sio Haruna aliyetokea APR

acha mkwara wa bin kleb mkuu
 
Yanga bab kubwa mchukueni muone maangamizi..muanze upya ujenzi wakikosi,kwanza sidhani kama atathubutu kucheza tim ambayo msimuujao mashindano yake makubwa ya kimataifa ni kagame hatahuko kwenyewe future is not clear kwasimba
Michezo gani ya Kimataifa Niyonzima anaitaka; kitendo cha yeye kuwa Tanzania tayari anakua mchezaji wa kimaTaifa; siyo kama hao hakina Msuva, Bahanuzi pamoja na Dumayo wanaotafuta pakutokea......Niyonzima yeye anacheza mpira popote pale iwe Simba, Mgambo hata Tabora Rangers.
 

Hapo natilia mashaka kwa hili
 
Natamani hii habari iwe ya ukweli.
.....Jangwani patakua hapatoshi, ila itakua fundisho kwa Yanga; kwani wamezoea sana kuwalubuni wachezaji wa Simba kila msimu. tangu enzi za Saidi Maulid, Athuman Idd,.............Yondani na Ngasa msimu huu....walishindwa kabisa kuifunga Simba uwanjani wakaanza kutafuta mbinu za kuwabomoa kuwapunguza makali, lkn kwa ujanja wao umeishagundulika tayari na wao yataanza kuwakuta tena Makubwa.
 
Heko malkia ya mchwa, hata sisi nabata ushungu, mimi nabenda malkia yetu
 
yah nimezipata pia hizi, ametua kwa milioni 200! na kapewa nyumba dubai chezea malkia wewe! Bin Kleb anaweweseka sasa
 
Confirmed!
Niyonzima amwaga wino msimbazi.
Ni Niyonzima wa timu ya daraja la 4 ya VIGWAZA FC.......

Dah, mkuu nilikata network nilipoanza tu kusoma. Nimekuja kurudia tena ndo nikashusha pumzi
 

Nasikiliza Magic FM hapa. Makamu mwenyekiti wa Simba Kinesi amekanusha kumsajili Niyonzima.

Nnachojua Niyonzima anataka mkwanja mnene kutoka Yanga na anawatumia Simba kama chambo. Which is a normal old trick kwa mwajiriwa ye yote...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…