kumuonyesha binti anapokaa rafiki yako anaweza hata pigwa mimba ikatolewa, we muonyeshe kwa wazazi wake bt first mpe namba yake ya simu aongee nae pengine akimsikia atajitokeza mwenyewe
Jitose ww mwenyewe kumsaidia huyo dada kama afanyavyo Dr. Mengi kama una mpunga wa kutosha kwani huyo jamaa yako ni njaa nidio inamsumbua tu. Mungu atakubariki sana.
Jitose ww mwenyewe kumsaidia huyo dada kama afanyavyo Dr. Mengi kama una mpunga wa kutosha kwani huyo jamaa yako ni njaa nidio inamsumbua tu. Mungu atakubariki sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.