Muwe Makini Mtandao wa Halotel kinachofanyaka ni wizi

Mawematatu

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
468
602
Niende Moja kwa Moja kwenye Hoja.

Baada ya tarehe mbili Mwezi huu Aprili kupewa onyo juu ya bei ya mabando, hawa watu halotel waliweka Gharama walizodai ni za kawaida accordingly kwa wao kuzingatia waliyoiweka ndio bei kabla ya offer. Mh Rais Alivyoendelea kuwaonya HALOTEL walirejea kama zamani, lakini GB inakwisha sekunde tu. Mpaka sasa ukinunua kifurushi hakikatishi kimekatwa. Kwa sasa wao wanakomoa. Jamani anahalieni na huu ni ujnga mkubwa sana na utapeli..

Marekebisho kwenye niwe Makini isomeke Muwe

Hapa MB 9 kuperuzi JF kwa dakika 1
 
Hili Nakubaliana Na Wewe Mkuu, 1GB Nlikuwa Naitumia kwa Siku Mbili Maana Naingia Twitter na Hapa JF Kwa Muda Kidogo,na Zaidi ya Hapo Napiga Nazo Kazi Online,Cha Ajabu Nimejiunga Jana Saa Saba Mchana,Saa 10 Jioni Hamna Kitu.
Wezi Wezi Wezi......................
 
Niende Moja kwa Moja kwenye Hoja.

Baada ya tarehe mbili Mwezi huu Aprili kupewa onyo juu ya bei ya mabando, hawa watu halotel waliweka Gharama walizodai ni za kawaida accordingly kwa wao kuzingatia waliyoiweka ndio bei kabla ya offer. Mh Rais Alivyoendelea kuwaonya HALOTEL walirejea kama zamani, lakini GB inakwisha sekunde tu. Mpaka sasa ukinunua kifurushi hakikatishi kimekatwa. Kwa sasa wao wanakomoa. Jamani anahalieni na huu ni ujnga mkubwa sana na utapeli..

Marekebisho kwenye niwe Makini isomeke Muwe
voda nao wale wale nimejiunga kifurushi cha dk 30 kilichonikuta nimeongea dk chache nikatumiwa ujumbe kifurushi chako kimekwisha hii mitandao sasa wanajichumia wawezavyo
 
Screenshot_2021-04-18-14-51-43-592_com.android.mms.jpg

Me kwangu naona sio mbaya sana.
 
Umakini sasa tufanye nini? Hapa ni kukaa kwa kutulia tu wakati unanyolewa kwa chupa.
 
Kwenye mambo ya biashara kupigwa inauma sana bora nijue GB 1 yangu inaisha kwenye video kwenye kuperuzi ikaekae..lakini hawa jamani usirogwe ufungue picha WhatsApp unashangaa imeliwa. Lkn jaman sio kwa kasi hiyo. Wamezidisha spidi ya ukatwaji kwa mteja I can feel it.

Wataalam wa haya mambo mnajua, mbps @(mega bites per second) Wana I calculate ikate jamani muoneeni huruma mtu wa chini..acheni kutuibia
 
Wewe itakua kuna mtu anashika simu yako then anajipunguzia MB, yaani unaipenda HALOTEL? Basi hamia TIGO au VODA
 
Wewe naisi umetumwa sio bure halotel mimi Gb1 natumia siku 4 mbona sema muache kuangalia porn ndo zinazo wamalizia mb izo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom