Niwasaidiaje kaka zangu?

Malizia nyumba ambayo mnaweza kuishi wote kama familia. Badala ya hapo hakuna tena kuwaza kodi. Kitakachofuatia ni kuwaza maendeleo na maisha yatakuwa rahisi kwa kaka zako.
Usiolewe sasa hivi hasa na m/me Mario utaharibu future ya familia yako.
Mimi nimefika nilipo sababu ya Dada yangu amenipigania sana.
 
Kabila moja kutoka Kaskazini! Naomba nisiwe specific
Jibu swali alilokuuliza mtaalamu. Sisi kama wataalamu wa kukusaidia ushauri tunatazama vigezo mbali mbali.... Alaaaaah....
 
Ile roho ya kimaskini ndio inajidhirisha ndani ya comment yako hii. We mtu kusaidia kuwainua kaka zake unaona gere? Acha wivu wa kichawi mkuu!!!

Utabakia hivyo hivyo.
mkuu hakuna roho ya kimaskini kwangu. nimesomesha wadogo zangu watatu hadi chuo
nipo vizuri
lakini katika kufanya hivyo nimejifunza pia
 
mkuu hakuna roho ya kimaskini kwangu. nimesomesha wadogo zangu watatu hadi chuo
nipo vizuri
lakini katika kufanya hivyo nimejifunza pia
Sasa kumbe umesomesha wadogo zako ila huyu binti kusaidia kaka zake kwako unaona ni tatizo? Acha hizo mzee...
 
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
 
Usimsaidie mtu eti wakati wa shida atakusaidia, haipo hivyo.Kusaidia ni roho.Roho zipo tofauti hata kama in tumbo moja.
Kusaidia kuna punguza "poverty circle".
Kitu kikubwa tunachotakiwa tukumbuke ni kuwa sisi watu weusi tupo katika extended family.By any means make sure watu wa karibu wanafanikiwa hata kama hawatakusaidia.
Kaka zako umewazidi "intelligence " hivyo basi teach them how to think don't spoonfeed them they will become most bogus on earth.
A man is a leader in a family how come it is viceversa to you, teach them how to become the leader in the family.
 
Huyo ticha aliua aisee!
 
Hebu ngoja kwanza!

Unasema kuna muda ukipata shida huna wa kumuomba, ukiacha mafanikio uliyotaja na elimu yako... una hazina gani mwilini kama binti wa early 20’s?
 
.....Sasa naomba mnisaidie ushauri na maoni, niwasaidieje?

Je, ina maana mimi kuendelea na ujenzi ilihali ndugu zangu hawako vizuri kiuchumi? Natamani nichukue mkopo niwape kwaajili ya biashara lakini vipi zikifeli maana tayari ilishafeli!.

This is first class mistake, usithubutu hata kuwaza.

Kaka zako ni wakubwa zako, kwa umri huo ni lazima tayari wana mfumo wao wa maisha washachagua... wasapoti huko huko (kama kuna umuhimu).

Kufanikiwa peke yako kwenye familia ni utumwa, unawajibika kuwafurahisha hao wengine ili tu wasikuone unawatenga... ni mzigo.

Hata huo ujenzi wa nyumba pamoja na nia yako njema, utaambiwa unajenga kwa kuhofia 'aibu' kwa rafiki zako siku ya siku.

Fanya kwa nafasi yako, wala usiwabeze hao ndugu zako kana kwamba tayari ushayapatia kiviiile.... una charger?
 
Kwanza nipende kukushukuru kwakuwasahidia ndugu zako,,uwezi jua baraka unazopata zinatokana na kuwasahidia ndugu zako kwa moyo..usiache kuwasahidia ila focus zaidi katika malengo yako.
 
Kwanza nipende kukushukuru kwakuwasahidia ndugu zako,,uwezi jua baraka unazopata zinatokana na kuwasahidia ndugu zako kwa moyo..usiache kuwasahidia ila focus zaidi katika malengo yako.
 
Nimecheka sana ila umeongea ukweli mtupu,, sometime madume tunazingua sana
 
Endelea kupambana hivyo hivyo
 

Kabla sijakupa ushauri wowote naomba unijibu swali moja tu:

JE, HAO KAKA ZAKO WANAKUNYWA POMBE?

Ukishanijibu hilo ntakupa ushauri nasaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…