Niwaeleze yanayotokea ofisini

Niwaeleze yanayotokea ofisini

Mnafanya makosa makubwa sana kujadili suala la mume/mke wako mkiwa kazini....hiyo ni 'pair' mwili mmoja,ni sawa na kujidhalilisha mwenyewe.Tujadili wapenzi,marafiki n.k lakini mke/mume hiyo ni siri ya ndani.
 
Kule ofisini ni sehemu yetu ya kumalizia stress. Tukipata muda hasa lunch time tunawasema waume zetu na kumaliza hasira. Kama uliamka ukakutana na taulo chini sakafuni, na bafuni jamaa alisahau kuflash basi yote yale ukiyatoa pale mashost wanacheka unapata ahueni.

Sasa ukutane na na aunt wakuzodoe, wakwambie hukufundwa wewe. Mimi niko kwenye ndoa mwaka wa 35 huu na wajukuu tumepata lakini ulishanisikia nikimsema uncle wenu hapa! Mmh auntie ni kwakuwa huna age mate hapa.

Jioni mkija kutupitia ukichekewa sana shemeji shemeji usifikiri kuwa wewe ni mzuri sana. Ni kuwa wanakumbuka ile stori yako ya kutapika kitandani siku ilebulipochanganya red wine [emoji485] [emoji481] na🥃 brandy.

Mkittuachisha kazi haya tuyaongee na dada wa kazi au na mama Pili mtaa wa pili?
[emoji121]
SIUNGI MKONO HOJA!!!!

[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Mnafanya makosa makubwa sana kujadili suala la mume/mke wako mkiwa kazini....hiyo ni 'pair' mwili mmoja,ni sawa na kujidhalilisha mwenyewe.Tujadili wapenzi,marafiki n.k lakini mke/mume hiyo ni siri ya ndani.
Tukiyaacha tunarudi nyumbani na stress. Ni hatari kwa ndoa
 
Mimi ndiyo maana sipendagi marafiki wa mke wangu waje kwangu ni upuuzi eti huwa mnatu discuss sana waume zenu kwa marafiki zenu
 
Mimi ndiyo maana sipendagi marafiki wa mke wangu waje kwangu ni upuuzi eti huwa mnatu discuss sana waume zenu kwa marafiki zenu
Urafiki wa ofisini unabaki hukohuko ofisini. Hata nikifahamu kuwa anakuja kunichukua sisemi mpaka atokee. Kuna vi shinshuda vinajua kupanga maisha yao juu ya wenzao. Utasikia shemeji ninaona Masada jamani. Ukaribu huo no
 
Kule ofisini ni sehemu yetu ya kumalizia stress. Tukipata muda hasa lunch time tunawasema waume zetu na kumaliza hasira. Kama uliamka ukakutana na taulo chini sakafuni, na bafuni jamaa alisahau kuflash basi yote yale ukiyatoa pale mashost wanacheka unapata ahueni.

Sasa ukutane na na aunt wakuzodoe, wakwambie hukufundwa wewe. Mimi niko kwenye ndoa mwaka wa 35 huu na wajukuu tumepata lakini ulishanisikia nikimsema uncle wenu hapa! Mmh auntie ni kwakuwa huna age mate hapa.

Jioni mkija kutupitia ukichekewa sana shemeji shemeji usifikiri kuwa wewe ni mzuri sana. Ni kuwa wanakumbuka ile stori yako ya kutapika kitandani siku ile ulipo changanya red wine [emoji485] [emoji481] na[emoji1634] brandy.

Mkittuachisha kazi haya tuyaongee na dada wa kazi au na mama Pili mtaa wa pili?
Umenifurahisha wallahi duu. Kumbe ndio zenu haya Mungu anawaona lakini. Mwenyewe kule kuchekewa nilikuwa najuwa napendwa na mashosti zako kazini.
 
Udhaifu wetu ndio mnautumia kimakosa wengine wanapenda wanaposikia ndio maana baada tuu ya kuwaambia kuna mmoja lazima atajipendekeza na sisi tukishaona hivi hapa milango ya fahamu tunafunga na vichwa viwili tuu ndio vifanya kazi!!
 
Back
Top Bottom