Sasa wewe unataka afurahie haki mliyonayo ili mbaki hivyo hivyo miaka yote.nawasalimia. habari
mi kijana (23)nmefanikiwa kuanza biashara baada ya kipind kirefu kutafuta mtaji.
nilikuw na laki 2 nimefungua biashar kwa laki na hamsin (nimetimiza week moja na siku 4)
katika hyo biashara wakat naanza wateja walikuw wanakuja wachache (nahisi n kwa sabb sijawa mwenyej)
nina mke ila bado hatujabahatika kuwa na mtoto.
nmeangalia faida nayopata kwa kila siku naona haiendan na mahitaj ya kuhudumia familia,
kwa siku naweza pata faida ya elf 3 au elf 4,na hizi siku 2 nyuma sijauza hata kidgo
,ila kuna siku wateja walikuja kama 8 ivi nilipiga hesabu nikaona nimepata faida ya sh 12,500 matumiz yangu mi na mke wangu hayazidi 2500 au 2000 kwa siku
mke wangu analalamika amechoka anataka kuondoka,nimemjibu haina shida achague atakaloona linamfaa ila nimemhakikishia hatutolala njaa hat sku moja .
lakini nimegundua huyu mwanamke hana uvumilivu kipind cha hali ngumu .
nikirud home nikimwambia faida ya niliyopata hata hachangamki,ila siku niliyomwambia nimeingiza faida ya 12500 alifurah sana .
niko njia panda wakuu,ushauri niendelee kukaza ili wateja wanizoee au nifunge biashara .
NAFANYA BIASHARA YA KUUZA SAMAKI WABICHI.
View attachment 1695196
mkuu aliyekuzaa angeiona hii thread asingecheka, dunian tunatofautiana kipato ,hyo 2500 kuna mwngne pia anaona nyingi,Sasa wewe unataka afurahie haki mliyonayo ili mbaki hivyo hivyo miaka yote.
Laxima akupe challenge upambane KIUME.
Labda kama ungempata wakati una maisha mazuri halafu ukafulia akakimbia, ungesema hana uvumiluvu.
Ila kwa kuwa kakubali kuishi na wewe mkiwa hivyo hivyo utasemaje havumilii.
Halafu Tsh 2500 matumizi mnaishi mkoa gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mwanangu sina cha kukushauri ila ongera sana mkuu, unapambana aiseeenawasalimia. habari
mi kijana (23)nmefanikiwa kuanza biashara baada ya kipind kirefu kutafuta mtaji.
nilikuw na laki 2 nimefungua biashar kwa laki na hamsin (nimetimiza week moja na siku 4)
katika hyo biashara wakat naanza wateja walikuw wanakuja wachache (nahisi n kwa sabb sijawa mwenyej)
nina mke ila bado hatujabahatika kuwa na mtoto.
nmeangalia faida nayopata kwa kila siku naona haiendan na mahitaj ya kuhudumia familia,
kwa siku naweza pata faida ya elf 3 au elf 4,na hizi siku 2 nyuma sijauza hata kidgo
,ila kuna siku wateja walikuja kama 8 ivi nilipiga hesabu nikaona nimepata faida ya sh 12,500 matumiz yangu mi na mke wangu hayazidi 2500 au 2000 kwa siku
mke wangu analalamika amechoka anataka kuondoka,nimemjibu haina shida achague atakaloona linamfaa ila nimemhakikishia hatutolala njaa hat sku moja .
lakini nimegundua huyu mwanamke hana uvumilivu kipind cha hali ngumu .
nikirud home nikimwambia faida ya niliyopata hata hachangamki,ila siku niliyomwambia nimeingiza faida ya 12500 alifurah sana .
niko njia panda wakuu,ushauri niendelee kukaza ili wateja wanizoee au nifunge biashara .
NAFANYA BIASHARA YA KUUZA SAMAKI WABICHI.
View attachment 1695196
Sijadharau mkuu. Ni suala la kuuliza tu.mkuu aliyekuzaa angeiona hii thread asingecheka, dunian tunatofautiana kipato ,hyo 2500 kuna mwngne pia anaona nyingi,
Kama haamini mauzo na faida muweke siku moja kwenye hiyo biashara aone mauzo yake.kuondoka,nimemjibu haina shida achague atakaloona linamfaa ila nimemhakikishia hatutolala njaa hat sku moja .
ana haki ya kulalama ikutie nguvu upambane zaidi2500 au 2000 kwa siku