andythelast
Member
- Mar 22, 2014
- 65
- 25
Habari zenu viongozi,.
Naomba kama kuna wenye ujuzi humu wa kutengeneza muziki kuanzia ala mpaka kuchanganya sauti kwa kutumia FL studio anipe ofa yake....
Kwa kifupi ni kwamba kabla sijaamua kujikita zaidi kwenye elimu iliyonipatia ajira niliyonayo,nilikuwa muimbaji mzuri kupelekea kutengeneza mziki japo si kwa ufanisi kwa kutumia FL studio,sasa nataka nijikite zaidi katika kufahamu kutengeneza mziki,kwa sasa napatikana Iringa,ila nategemea kuwepo Dar wiki ijayo,nipe ofa yako,kamata fursa,twen' zetu.,