Niuzie smartphone Nina tshs.200,000/=

Niuzie smartphone Nina tshs.200,000/=

Mi nina note1 ongeza 20 hapo nikupe fasta0657536080
 
Kuna huawei y3ii yenye 4g network
Nipe 180000 tu nikupe
Nicheki whatsapp
0659505081
 
kama ni mgonjwa, amepewa dozi kupindukia. mleta mada kama ulifanikiwa kupata kati ya ulizowekewa, leta mrejesho: ukurasa utajaa maana humu ni zaidi ya gulio. hata ukitaka simu kwa mafungu utauziwa.
 
Back
Top Bottom