Niuzie kitanda cha 5x6

Niuzie kitanda cha 5x6

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Habari zenu,

Natafuta kitanda used cha 5x6, bajeti yangu ni laki na nusu. Pia vitu vidogo vidogo kama feni, mapazia, kapeti na ka TV. Namwanzilishia maisha mdogo wangu katoka bush! Nipigie kwa namba 0653 257566, kwa ufanisi zaidi naomba screenshots kwa Whatsapp pia.

Thanks
 
Ungesema uko wapi ingekuwa rahisi, hivi unajua kuna watumiaji wa jf wako ulaya! Ni bora ukasema uko wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom