Niuzie jiko linalotumia gas

Jongwe

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
1,040
662
Kama unajiko linalotumia gas na lina plates 4 nicheki private. Liwe na oven inayotumia umeme. Liwe katika hali nzuri. Budget yangu Tzs 300k
 
Nina jiko la gesi KIOO with two plate plain bila oven, na Mtungi wake wa Oryx UMEJAAA, na pipe na gas meter tuongeee mkuuu
 
Hapana mdau. Nahitaji liwe na 4 plates na oven pia
 
Back
Top Bottom