Kwanini usiende kununua kipya boss? Kimahesabu ukinunua utalipia subscription.. Ukinunua kipya utapewa miezi mitatu ya 35,000 per. Kwakuwa watanzania wengi tunanunua cha 20k assume unapata 60k+140k=200k. Tofauti inakuwa 10k ila hapa unapata kipya na kinachosajiliwa kwa jina lako na namba zako.