Devid Y amos
Senior Member
- Jul 3, 2014
- 151
- 27
Nna galaxy s3 ipo kwenye hali nzuri haina tatizo laki 380 ukihitaji nipe namba nikutumie kwa watsapp
Hii hapa kama umependa nicheki....ni mpya kbsa ktk box. But 250,000
Nimeipenda ila nna 200 tu mkuu
Hii hapa kama umependa nicheki....ni mpya kbsa ktk box. But 250,000
Simu ibaki nyingine moja.
Kama umependa nicheki through whats app 0765377506
Hii hapa kama umependa nicheki....ni mpya kbsa ktk box. But 250,000
Hii hapa kama umependa nicheki....ni mpya kbsa ktk box. But 250,000
UWAAMBIE KAMA NI CLONE/COPY HIZO SIO WAINGIE KICHWAKICHWA.. warudi wanafungua thread za kulalamika humu