promiseme
JF-Expert Member
- Mar 15, 2010
- 2,706
- 935
Kweli kupima kunataka moyo mie nikienda kupima tumbo lakuharishaa. Ndio usiseme mpaka ukishapewa majibu ndio unapata afueni, sio Kama. Hujiamini lakini kuna mwenzio nae hujui kapitiaa wapi,excuse za foleni barabarani ndio usiseme kumbe mwenzio kaenda kufanya mambo ya ajabu...sasa basi kua jasiri nenda kapime au chukua kit jipime mwenyewe Kama nnavyo fanya mie kwanza..