katerelo
Senior Member
- Sep 24, 2016
- 142
- 100
Habari wana ndugu, karibuni vijana wenye uwezo na ushawish katika mijadala mbalimbali na michango ya mawazo mazuri, wanahitajika vijana wanaojua kuchambua siasa na halo ya democracy nchi mbali mbali bila kusahau Tanzania Yetu,
Tuandae jarida maalumu la kusomwa sehem mabali mbali duniani, na maalumu kwa ajili ya kuchambua kwa kina masuala yanayoendelea nchi mbali mbali hasa kama haya
1. Elimu
2. Afya
3. Uchumi na viwanda
4. Uwekezaji
5. Fursa za kimataifa
6. Ajira na vipaji
7. Rushwa na madawa ya kulevya
8. Siasa za africa na uhalisia wake
Tunatarajia kuandaa jarida kitakalosambazwa nchi 75 kutoka
1. Ulaya
2. Asia
3. Africa
4. Australia
5. Ameirca kote,
.
Njoo PM
Weka details zifuatazo
1. Jina kamili
2. Mtaa unapokaa
3. Umri na elimu yako
4. Sehem unapofanyia shughuli zako
5. Namba ya simu,
Hizo taharifa juu zitatusaidia kukujaza kwenye database Yetu na kukujulisha wapi tunakutana,
Karibuni
Katerelo....