Scorpa
Member
- Jun 23, 2019
- 55
- 24
Nakuelewaga Sana mkuuu.Ivo nitatoa maelezo hapa mengi yatakayojib maswali yako tofauti
NAKUJIBU KAMA IFUATAVYO.
Kipimo ulichotumia ni nia aina ya kipimo ambacho kina uwezo mkubwa 100% wa kutambua maambukiz km unayo.
Ni aina ya kipimo ambacho kinatizama Antibodies yaan wanajeshi walozalishwa na kinga ya mwili kupambana na HIV.
Mtu anapopata maambukizi, huchukua kuanzia wiki 3--6 Wanajeshi hawa kuzaliwa naivyo wanaweza kugundulika. Hata ivo kama
Kinga ya mwili iko chini sana toka zaman, basi utachelewa kuzalisha wanajeshi.
unatumia madawa mfano yakutibu kansa..utachelewa pia.
Kama ulimeza PEP utachelewa pia.
YAAN WANAJESHI WATALAZIMIKA MPAKA MIEZ 3---6 NDO WAWE WENGI KIASI CHA KUGUNDULIKA NA HIVI VIPIMO.
Lkn kama kati ya hayo uko poa Basi ni wiki 3-6 kitu tayari ..
Wewe umepima baada ya Miezi 3 ... Hii inamanisha ni muda ambao kila mwanadam kama amepata maambukizi na yuko vzur atakua keshazalisha hawa wanajeshi ivo atagundulika tu, ndio maana tunasema pima kila baada ya MIEZI MITATU.
Kwa ufupi, majibu baada ya wiki 4--6 hutambua asilimia 95% ya maambukizi... Na miezi 3 100% ya maambukizi.
Kwaiyo wewe kwa miezi 3 niseme hauna HIV...labda km umegongana tena hapo katikati .
Kuhusu uyu Dada.... Kama mmepima, namajibu yako salama basi ujue yuko salama kabisa .
Mwishooo... Dalili haziwezi kutumika kukusaidia wewe kujifanyia vipimo binafsi.
Na nikuambie hii kitu... Ukiwaza kua una HIV alafu ukasoma Hizo habar mitandaoni..HAPO HAPO utakua umeilazimisha akili yako ianze kuzitengeneza Dalili ulizoambiwa.
Dalili za HIV awali, huwa ni zinatokea wiki ya 2-4 baada ya maambukizi.
Zinakaa wiki moja..baadae zinasepaaa..hazirudi tena..zikirudi ujuwe zinarudi kama NGOMA yenyewe.
Naaaaaaaaa , kwa maelezo ulotoa, HAPO SIJAONA DALILI HATA MOJA YA HIV.
DALILI ZA HIV ZINATOKEA NYINGI KWA WAKATI MMOJA , AU KIPINDI KIMOJA.
Naomba kujua...
KIPIMO CHA HIV FIRST RESPONSE RAPID TEST.. KWA UNDANI NAMANISHA WINDOW PERIOD YAKE PAMOJA NA MUDA WAKE WA KUTAMBUA MAAM UKIZI NDANI YA DAMU....
NIMUHIMU SANA