VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

radika,
Ukimwi tumeletewa mkuu,na sio gonjwa hilo tu yapo mengi,either straight kama ukimwi,ebola,herpatitis A-D nk.au kwa kutumia vitu ambavyo ukivitumia unapata ugonjwa kama plastics,madawa mbalimbali,yawe ya hospitali,kilimo,ya nyumbani etc.
 
Wana dhambi hawa.
 
Hivi tuna uhakika gani na madawa tunayodungwa mahospitalini kuwa ni salama?

Kama huyu mmoja amekiri kufanya hivyo je kuna wangapi kama yeye wanaofanya kazi kwenye viwanda vinavyotengeneza chanjo mbalimbali zinazokuja Africa?

Nipata kusikia wazungu walisema wanajiandaa kuja kuishi Africa baada ya miaka kadhaa ijayo kutokana na waafrika wengi wakati huo kupukutika kwa ukimwi na saratani, kitu gani kinatupa ujasiri wa kuendelea kupokea misaada yao ya tiba?

Je ni tiba zetu za asili zina mapungufu gani ukizingatia kuwa wazee wetu wa zamani waliishi miaka mingi na walitibiwa kwa dawa asilia tofauti na sasa ambapo life span yetu imeshuka?

Viko wapi vyakula vyetu vya asili kama amafufu, luhavi, nyungu, nk?
 
marxlups,
Katika mambo yanayosikitisha kwenye madawa ya msaada yanayopita wizara yetu ya afya moja ni hizi dawa za "Kinga ya kansa ya kizazi" kwa wasichana vigori walioko mashuleni, wanazodungwa sasa hivi. Laana yake tutakuja kuiona kwa kukosa kwetu umakini miaka 30 ijayo.
 
Awamu ya kwanza walitusambazia Bibilia awamu ya Pili Virusi vya Ukimwi tungoje awamu ya tatu.
Kupata Biblia ni mpango mzima wa Mungu katika KUMKOMBOA na KUMUOKOA mwanadamu aliyepotelea dhambini na kutawaliwa na ibilisi.

Biblia ni Neno la Mungu ambalo linatusaidia kumjua Mungu na kisha kuupata UZIMA WA MILELE ambao ndio mpango mahsusi kwetu wanadamu.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani Bigger picture inakusumbua
 
Kupata Biblia ni mpango mzima wa Mungu katika KUMKOMBOA na KUMUOKOA mwanadamu aliyepotelea dhambini na kutawaliwa na ibilisi.

Biblia ni Neno la Mungu ambalo linatusaidia kumjua Mungu na kisha kuupata UZIMA WA MILELE ambao ndio mpango mahsusi kwetu wanadamu.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app

Amka wewe eti uzima wa milele, kama unaona biblia waliyokuletea ni ya ‘mpango wa Mungu’ basi kubali pia kuhusu UKIMWI..... acha kuchagua yanayokufurahisha tu.
 
Mkuu!Acha kuishi hivyo mkuu!Ushawai fika huko ukathibisha hayo?Maisha yako yanaishia hapa hapa duniani.Wewe Fanya utakacho ukiamua acha kuishi ukadhani kuna jehanamu.Haipo mkuu!Hizo tuliaminishwa tu na wahuni wa mwamzo
 
Huyo jamaa niliona akitoa ushuhuda kwenye page moja hivi Ig, jamaa ni ex soldier, wamesambaza sana virusi kwa njia ya chanjo nchi zinazokumbwa na machafuko ya kivita. Lengo kuu anasema ni kutokomeza vizazi na race yetu. Hata hii Ebola anasema ni mpango wa mzungu, ili tufe wote Waafrika.
ila nimeclick hiyo link inasema hiyo page haupo.
 
Back
Top Bottom