Unadhani kati ya pulling factors na pushing factors zipi zina nguvu ya kumuingiza mtoto wa kike kwenye biashara ya udadapoa?Unajua hakuna aliyezaliwa na akili ya kujua lipi jema na lipi baya na vilevile katika utafutaji wa maisha kuna mengi hutokea pasi na wewe kujua.
Ushauri wangu ni kwamba watambue magonjwa yapoa.
Unajua madadapoa hudhani hii kazi ni ya haraka katika upataji wa pesa ila ina riski kubwa sana.
Huko nilikuwepo ila nilipambana kutoka kwa kuwa inadhalilisha sana utu.
Nawashauri watafute biashara za kufanya hata zenye mitaji midogo.
Waanze na walichokuwa nacho
Unajua mitandao hii isitufanye kwenda kinyume na maadili ya Kitanzania.@nusratt,unajua mwenyewe nilichokwambia kule pm na unajua ulichonijibu,ila mpaka sasa sijaona call au sms yako,unamaanisha nini?
Ndio,Kuwa Honest kama ulivyosema.
Una miaka mingap?
Unaishi mkoa gani?
Kabila gani?
Umeolewa?.
Una mtoto/watoto?.
Sawa, nimeshakaaNusratt njoo ukae kwenye hili benchi ili upate nafasi nzuri ya kujibu maswali
View attachment 3315327
Sio 45?Nina miaka 32
MmhhHuko nilikuwepo ila nilipambana kutoka kwa kuwa inadhalilisha sana utu.
Kutoa hewa chafu sidhani kama ni jambo la kushangazaSwali langu ni hili: Je, ni vizuri wanandoa kuachia ushuzi kwa kujiachia wawapo nyumbani? Nasema kuhusu ile hali ya watu kujiachia bila kujali muda wowote na sehemu yoyote wawapo wawili.
Umefika kwa sababu najua unamiliki chuma kali na hauna credit cards jambo ambalo mimi nimeshindwa kabisa🤣🤣🤣Min mchokozi sasa mimi nimefikaje hapo? Na swali alitakiwa kujibu Nuzu..!! 😹
Kila la kheri shemej....Ndio,
Nina miaka 32,
Ninaishi mkoa wa Dar es Salaam,
Kabila langu ni Mdigo,
Niliolewa hapo awali, ila nimeachika,
Hapana, sikubahatika kupata mtoto mpaka sasa
Nuzu ulikuwa unajisell? 😹😹Unajua hakuna aliyezaliwa na akili ya kujua lipi jema na lipi baya na vilevile katika utafutaji wa maisha kuna mengi hutokea pasi na wewe kujua.
Ushauri wangu ni kwamba watambue magonjwa yapoa.
Unajua madadapoa hudhani hii kazi ni ya haraka katika upataji wa pesa ila ina riski kubwa sana.
Huko nilikuwepo ila nilipambana kutoka kwa kuwa inadhalilisha sana utu.
Nawashauri watafute biashara za kufanya hata zenye mitaji midogo.
Waanze na walichokuwa nacho
Sitaweza kuja kuzaa kwa maana nilipata shida kwenye kizazi, hivo ikapelekea kutolewa.Kila la kheri shemej....
Atleast sasa nakujua .
Ushauri:-
Ukipata mwanaume anaeeleweka hata kama ni muwe wa mtu, zaa nae.
Mtoto anakuja na baraka zake.
Si urithi wa bibi upo..!! 😹Umefika kwa sababu najua unamiliki chuma kali na hauna credit cards jambo ambalo mimi nimeshindwa kabisa🤣🤣🤣
Ji sell basi kwangu na wewe 😂Nuzu ulikuwa unajisell? 😹😹