Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

Punish thief....
Maninaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Hii hatari.
Mwanzo wakati natembelea hizi site nilijua photoshop au wameedit.
Ila kubababake🫑🫑🫑
Umekubali.

Haya ulale sasa.
 
Moja ya sababu(risk factors) za saratani ya shingles ya kizazi ni kuanza mapenzi kwa mwanamke akiwa bado mdogo, na kufanya na wanaume wengi, so ulijiweka katika hatari kubwa.
Nilipata saratani ya shingo ya kizazi na kupelekea kula mpaka mji wa mimba.
Na katika kuokoa maisha yangu, nilikubali kitolewe.
 
Moja ya sababu(risk factors) za saratani ya shingles ya kizazi ni kuanza mapenzi kwa mwanamke akiwa bado mdogo, na kufanya na wanaume wengi, so ulijiweka katika hatari kubwa.
Sawa kaka.
Nimekuelewa.
Asante sana.
 
Mama na baba wapo wapi? Kwanini ulilelewa na bibi?
 
Nakuuliza kwa nini hunipendi ,nakupongeza kwa kustaafu ile kazi, lakini pia nakushauri tupendane au wewe unaonaje kisura ?πŸ˜ŒπŸ˜‹
 
Well nimeona watu wanauliza maswali yanayoleta nyege.mimi natoka nje kidogo swali langu ni kwamba
Kwanini wakati wa kufanya ngono mwanamke anakuwa kama nimesema siandiki mambo ya ngono, ahsante sana 😁.
Hujamalizia swali
 
Hujamalizia swali
nikimalizia tutaanza kuzungumzia ngono na mimi muda huu nipo mwenyewe abdala kichwa akisimama nitafanyaje sasa. Halafu kitu kingine haka kadude kananitatiza sana nisaidie namna ya kuvunga nione kanafanya kitu kingine tofauti na ninachokiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…