mbona kawa tu. Kwani walioianzisha hata mmoja tu wako wapi? Hilo sio jambo jipya ila nayo kuna siku itakufa fwiiii tisahau kabisaaaa. Tuliona ZANU, KANU na wenzao UNIP wako wapi????
1.Kwanini ccm mmejimilikisha mali za Umma
Mfano; viwanja vyote vya michezo mikoani na frem zinazozunguka stendi za magari wakati vimejengwa kwa kodi za wananchi?
Lini mlichanga pesa kuvijenga?
2. Kwanini mnawalea mafisadi kama akina Chenge ndani ya chama chenu?
3. Mahakama ya mafisadi mliyojinadi nayo iko wapi?
Imeendesha kesi ngapi na imemhukumu nani?
4.Kwanini mnalazimisha kupendwa na wananchi na kutumia nguvu kubwa sana kuficha madhaifu yenu na ya mwenyekiti wenu?
ningependa kuwafahamu wajumbe wa kamati ya usalama na maadili ngazi ya taifa, mkoa na wilaya
upatikanaji wao na majukumu yao kwa mujibu wa katiba ya ccm