Niulize jinsi ya kutengeneza game

Niulize jinsi ya kutengeneza game

Nimesema mkuu kuwa hivi karibuni nitai upload nasubiri kufungua account ggoogle playstore
 
  • Thanks
Reactions: 4wd
Mimi ni omary faniyangu ni game development kwa sasa nimesha tenzeneza game nyingi likiwepo ujiji race hivi karibuni nitali upload on playstore sasa niulize jinsi ya kutengeneza game
Mkuu tupeane idea unatumia engine gani
 
Unreal na unity 3d niulize wapi ulipo kwama kama upo kigoma nitafute kwani nimesomea hizi engine ninaujuzi kkuhusu game
 
Nilikuwa nadevelop games kwa kutumia blender engine lakini haina vitu vingi nimeamua kwa sasa nigeukie jmonkey engine, unreal na unity games engine.
 
Nilikuwa nadevelop games kwa kutumia blender engine lakini haina vitu vingi nimeamua kwa sasa nigeukie jmonkey engine, unreal na unity games engine.
Karibu kama ukikwama nitafute namba yyangu ni 0718553004
 
0762165498 jamaan tutengenezeni group la whatsapp tupeane ujanja sisi tuwe mfano wa wataopenda hapo baadae 3d games
 
Unreal na unity 3d niulize wapi ulipo kwama kama upo kigoma nitafute kwani nimesomea hizi engine ninaujuzi kkuhusu game
mkuu, kuna uwezekano wa ku reverse engineer app kwa kutumia hizo engine?
 
kama una source code unaweza...
apktool inaweza kukupa source code, app ina login page na IAP, nikizi disable na inatakiwa kuwa online kuzitumia, developer hataweza kujua na kuiblock?
 
Back
Top Bottom