Niulize chochote kuhusu Uchimbaji Mdogo wa Dhahabu na mambo mengine yanayohusiana na hayo

Nahitaji kufahamu zaidi kuhusu Chemical ya GD (gold Dixie) ambayo hufanyakazi kama Sodium Cyanide ila yenyewe Ni Green Friends Rafiki ya Mazingira
Heri wakuu...poleeni na mihangaiko...mimi ni kijana mjiolojia na nna uzoefu wa uchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu na vito vya thamani yaani gemstone...ningependa tupeane ushauri na kama kuna wakuu wengine wanajua hasa hii kazi mnakaribishwa,nakaribisha maswali ya kitaalam(expertise) na yale ya kawaida karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nataka unisaidie ni wap naweza pata chemicals za kuwauzia wachimbaji wadogo za kupasulia miamba na zinapatikana wapi na soko lake likoje?
 
Mkuu nataka unisaidie ni wap naweza pata chemicals za kuwauzia wachimbaji wadogo za kupasulia miamba na zinapatikana wapi na soko lake likoje?
Nenda arusha mererani...inabidi ukatie leseni/kibali maana zile ni explosive materials
 
NAtaka nifanyaje biashara ya dhahabu kununua Chunya kuuza mbaya mjini.natakiwa nifanyaje na je gram moja kwa Chunya bei na Mbeya bei gani?na natakiwa niwe na vibali gani
 
Kwanini wachimbaji wadogo, hawapendi kuwaajiri wasomi eg. Geologist
Hata kama kwa kujitolea kuwasaidia hawataki kabisa.

Kuna njia ngapi mnazotumia wachimbaji wadogo kuchambua dhahabu kwenye udongo au mawe?

Nikihitaji kwenda kupiga kazi kwenye hizo migodi midogo inabidi nitumie technique gani niweze kupiga pesa?

Private geologist



Njoo mkuu andamana nami
 
Mkuu kuna njia nyingine yoyote ya kisasa ya kutumia kuchuja dhahabu badala ya mwalo
 
NAtaka nifanyaje biashara ya dhahabu kununua Chunya kuuza mbaya mjini.natakiwa nifanyaje na je gram moja kwa Chunya bei na Mbeya bei gani?na natakiwa niwe na vibali gani
Uze dhahabu au jewerlies kam jewrlies sawa ila dhahabu , ckuiz kila kweny madini kuna soko la hayo madini hairuhusiw kuuzia dhahabu(madini) nje ya hilo soko otherwise uwe na vibal vya usuper dealer vya kuuza dhahab nje ya nchi ambapo pia iyo dhahbu lazma ipimwe apo kweny hlo soko na kuwekewa serialnumber na commision wa kanda..vngnevyo ukikutwa na dhahbu ambayo haina hvyo vbal utapewa kes ya utoroshwaj wa madini
 
Back
Top Bottom