Ndala ndefu
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 237
- 42
Haya, kwa wale madogo mliochaguliwa STEMMUCO uliza chochote ujibiwe. Mi ni miongoni mwa waasisi wa chuo hicho, nimegraduate 2012. Karibuni!
Vp kufika Mtwara lazima upitie Dsm au hata njia ya kati inaptika?
Haya, kwa wale madogo mliochaguliwa STEMMUCO uliza chochote ujibiwe. Mi ni miongoni mwa waasisi wa chuo hicho, nimegraduate 2012. Karibuni!
daa!vp mazingira ya huko kupo pouwa lakini.......?milupo jee ipo ya kutoshaa.....?