Niulize chochote kuhusu nchi Marekani

Kuish bla vbal n Sawa na mfungwa,na muombe mungu Sana husiugue,husitafut kz,au kupanga nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swapi sio langu ila ukzamia huko bila vibali lazima ule mbatata za ice agents

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwandiko wako umeyeyusha maswali yangu yote,unaandikaje hivyo?Upo Marekani lakini unaanndika utadhani upo darasa la nne A Chato Primary School!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…