Ni Wachaga wapi wanaofanya hayo matambiko kila mwaka? Hebu weka ushahidi tuwafahamu tukawaulizeMizimu ni roho za ndugu zako (babu na bibi), upande wa mama yako na baba yako.
Namaanisha baba yako ana baba yake baba yake na baba yako (babu) na yeye anababa yake chain inaendelea...........
Hivyo hivyo kwa mama yako, na yeye ana mama yake, mama yake na mama yako naye ana mama yake .... Circle inaendelea.........
Katika hao ndugu zako hapo juu kwa pande zote mbili (kwa baba na kwa mama) wapo waliokuwa matajiri wanamiliki mifugo nyumba na mashamba pia wapo masikini, wagonjwa, walevi, wasimbe n.k
Ikitokea umerithi mizimu ya kimasikini hautayaona mafanikio ikitokea umerithi mizimu ya kisimbe hautakaa udumu na mwanamke au mwanaume utqkufa single.
Matambiko ni njia ya kufukuza mizimu mibaya na kuiita mizimu mizuri
Wqchaga hufanya matambiko kila mwaka waulize watakupa somo
Ahsante
Tatizo hatujajua kama ukoshakuwa mzimu utakuwa na maisha ya aina gani, labda mizimu inakula bata huko iliko😀😀Ila kuwa muafrika ni adhabu kwenye uhai na umauti.
Duniani ukute maisha ya mtu yote yalikuwa magumu, unapigika kisawasawa. Kama vile haitoshi, ukifa napo unaenda kuwa mzimu.
Kuhusu mizimu ya babu yako kukupa mafanikio watafute wachaga watakupa shuleNawezaje kuutumia mzimu wa babu yangu kunitatulia changamoto zangu za kiafya na kimaisha wakati alipokuwa hai nilishindwa kumtumia na pia nilimtelekeza kabisa
Sasa hv hayupo duniani ndio nimeanza kutambua umuhimu wake?
Nitaleta uzi wake siku nyingine.Sema sema stori ya majini kidogo Ili tupate maswali, mana hapa sioni ndauliza Nini katika kitu ambacho sijui
Ahsante kwa maoni yakoUhuni mtupu
Yalete hayo maswali
Sibabaishi uliza swali la mizimu kiroho au kisayansi.Una uhakika?...
Hata yesu ni mzimu ndio maana mnamuabudu kila sikuYule yesu wewe mizimu chai
Ukisema mashetani ya kijini je kuna mashetani yasiyo ya kijini?Bado hujajua nini maana ya mizimu!
Mizimu ni mashetani wa kijini ambao wapo hai kabisa. Hakuna mizimu mizuri kwasababu inachochea ushirikina na inapenda kuabudiwa na kuombwa kama Mungu.
Mizimu ni majini waovu ama kwa jina lingine ni mashetani ya kijini.
Majini wazuri wanamuabudu na kumtii Mungu wala hawashawishi wanaadamu wamkufuru Mungu.
Hiyo ni mizimu ya kiganga.kwanini mizimu huwa inapoda usoni...??
Krismasi na mwaka mpyaNi Wachaga wapi wanaofanya hayo matambiko kila mwaka? Hebu weka ushahidi tuwafahamu tukawaulize
Mizimu itakula bata kupitia wewe.Tatizo hatujajua kama ukoshakuwa mzimu utakuwa na maisha ya aina gani, labda mizimu inakula bata huko iliko😀😀
Nishawaona sanaMizimu itakula bata kupitia wewe.
Kama unamizimu ya kilevi basi maisha yako yote utakuwa cha pombe, ukiamka asubuhi unaamkia kwenye pombe za kienyeji muda wote unanuka pombe.
Haujawahi kuwaona watu wa dizaini hiyo mkuu?
Una ushahidi? Mimi ni Mchaga sijawahi kushuhudia hayoKrismasi na mwaka mpya
Hiyo ni kweli kabisa mkuu, kama huyo mwanamke ana mikosi, nuksi au mizimu ya kimasikini lazima ufilisike au mambo yako yaende mrama.Mkuu kwa sababu una uelewa wa hayo mambo ngoja niulize sijui itakua na uhusiano na mizimu direct au haina. Wanavosema kuna mwanamke ukilala nae mambo yako yataenda vizuri na mwingine ukimlala tu mambo yanakua tasa, hii ni kweli?
Kama ni kwel ntajuaje huyu ana baraka huyu ana mikosi?🙏
Inategemea na uelewa wako ktk haya mambo.Nyuzi za namna hii ni hatarishi kwa maendeleo ya taifa.