Ngoma ya humauni nature, ilimwigzia kipato cha $ gapi?
ni goma gan? ambayo ilimutangaza ujulikana zaidi dunian
Ngoma ya humauni nature, ilimwigzia kipato cha $ gapi?
ni goma gan? ambayo ilimutangaza ujulikana zaidi dunian
Hiyo ni remix
je? michal jackson alikuwa kwenye kundi la secret society group,
kati ya skull bones
freemason, illuminate, klu klan klax(kkk).
Lini alianza kujichubua maana kwenye thriller video alikuwa black.
Hzo zote conspiracy theories ila hakuna evidance ya moja kwa moja kuwa Michael alikuwa member wa hayo makundi..
Michael alikuwa mwanamuziki mwenye kipaji kikubwa mno tokea akiwa na miaka 6, kipaji chake na management nzuri ndo vimechangia mafanikio yake
Unauzungumuzije? wimbo wa black or white na video yeka!!! na hiyo nyimbo ya thriller
Wimbo wa Thriller kwanza hakuandikwa na Michael jackson , uliandikiwa na ilikua idea nzuri ya kuteka soko la muziki kwa kuja na kitu cha kibunifu kwa wakati huo.
kuhusu black or white video yake kama unavyoiona ni Mawazo ya Michael kuhusiana na masuala ya ubaguzi wa rangi, kama kuna ufanono wa mambo ya kutisha ni kutokana na video ya black or white na thriller kufanywa na director mmoja " John Landis"