Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Neno Pemba maana yake nn?
Unajivunia uislamu. Delete
Neno Pemba maana yake nn?
Nimesahau linatokan na lugha gani lakin PEMBA lina maana ya kisiwa cha kijani kwa uzuri wake.
Wewe si uliomba uulizwe swali na ua chochote kuhusu Pemba? Jibu swali la Money StunnaNitajie mpemba mmoja ambae ni mdobwedo.
Umejibu vyema mkuu nipo Tibirinzi lakini majibu yako yamenisisimua sana,Umaskin wa wapemb umesababishwa na sirikali iliyopo madarakan wakiamini
kuwa pemba ni wapinzani, fuatilia karafuu zao zinafanywaje, tafautisha
baina ya kuza sana na kuzaa ovyo ukishatafautisha jiulize kwa nini
hakuna chokoraa wa kipemba popote pale duniani?, c kweli shen anakuja
sana tu pemb ata
ramadhan alikua anaftarisha.Imani za kishirikina dunia nzima zipo lakin
wapemb hatuchonan moto wala kuuwana kudhaniana wachawi wala hatuuwi
walemav kwa kutaka utajiri. Mfanyakaz yoyote yule anapenda aish karib na ofisi yake so ndio hao viongoz kutoka pemb wanaish karib na ofis zao.
Jamaa (Wapemba) Mna roho mbaya kweli kweli...ndg yangu mtu wa huku bara anafanya kazi huko week iliyopita amekuja kutueleza masaibu yanayompata huko hakika nusura nitoe machozi mwanaume...ni mengi sn lakini mengine ni vituko maana aweza kulala usiku akiamka asubuhi anakuta nje Kuna makimba ya watu wazima na mengine yamepakazwa ukutani....dah nyie jamaa kweli mna roho za kutu sn kwa watu wa bara
Nasikia Pemba mnataka kujitenga na Unguja ni kweli???