ASSALAMU ALAYQUM, YAAMANITTABAAL-ULLAA,
Kwa yeyote mwenye suwali kuhusu kisiwa chenye marash ya karafuu (PEMBA) na wapemba, naomba aniuleze, nitamjibu kadri ya uwezo wangu.
Najua kuna mengi yanasemwa kuhusu Wapemb na kisiwa chao ki2kufu mengine ni mazuri mengine mabaya kwa uhakika naombeni muniulize kupitia uzi huu. kuna misemo mingi ya kejeli wanayoambiwa wapemba kwa mfano " Mpemba ku2 la ng'ombe" "mpemba haoneshwi paja"
Pemba perema ukenda na joho utarudi na kilema, ili mradi ni kashfa kebeh zidi ya wapemb na kisiwa chao. Eb yeyote aliekushafika Pemba na atwambie zile sifa mbaya zinazo pakazwa kuhusu wapemba ni kweli?Mimi ni mpemba fyoko makaburi ya babu zangu na bibi zangu yote yapo pemba, kwanza najiringia UISLAMU WANGU, pili NAJIRINGIA UPEMBA WANGU.