marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,106
- 1,948
Yeswewe una app ?
unalipwa ?
Hongera kwa kuwa na app
AsanteHongera kwa kuwa na app
Nalog off
Mambo vipi watu wa Tech.
Kwa uchache niwaeleze kuhusu google Admob, ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza kua fursa.
Kwanza kabisa google Admob ni child company ya google ,ambayo ina jihusisha na shughuli za matangazo(ADS) kwenye Apps
Kinacho fanywa na google Admob ni kushare mapato wanayo pata kutoka kwa wateja wao wanao lipa kutangaza matanagazo yao kupitia google.
Google hupeleka matangazo hayo kwenye App(Mobile Application) na hulipa kulingana na watumiaji na click unazo pata kwa share.
Hivyo mmliki wa App hutemgemeza pesa kutokana na idadi ya watumiaji wa App anao pata kila siku.
Kwa. Ufupi sana hii ndio google Admob, karibu kuuliza chochote kuhusu Admob.
Kwanza kabisa pole kwa kumpoteza kijana mwerevu kama. Huyo,ooh mkuu nimefrahi sana , i know huhusu fb ads na admob, kuna mdogo angu nlikuta sms kwenye cm kanitumia muamala mrefu ghafla tu then akanicall sis nmekutumia hiyo, usiwaze nmetoa wapi na niko chuo, nkasema say it umetoa wapi? or unauza drugs? or umepata mumama anakulea[emoji53]? na almost kila time we ni kupiga umeishiwa boom , mala sjui nadaiwa iki mala naumwa sanaa[emoji53], akasema nikirudigi home kutwa mnafoka natumia pc kutwa nzima, hua nafanya fb ads sjui admob, akajielezaaa hata skumuelewa admob sjui ndo kitu gani
me ni mtu wa kujaribu vitu hadi watu hunishangaa sometimes nafanya mambo ya wanaume[emoji28], dogo alipata ajari hatupo nae tena so nmeona hii nkakumbuka, hebu tupe elimu mkuu please[emoji120]
swali la 1. kuna kitu skumbuki alisema aje but alisema hua anatafta fb account nyingi hata kubuy ili atengeneze matangazo cas ukiwa na moja unaeza fungiwa then unaendelea na ingine
anyway inakuaje yani?
Kutengenza fb accout, nenda kwenye account yako ya fb, nenda sehem inaitwa Ads manager hapo kila. Kitu kitajieleza na utafa maelekezoswali la 2
unatengeneza aje ads account ya facebook?
Hakuna fixed price ila ipo minimun so ni uwezo wako ndio utaamua unatumia kiasi gani kwenye kutangazaswali no. 3
niliona transactions alikua anatumia hadi 100k kila siku cas ads aloweka ilikua active for almost 9 days ndo akaona pesa nyingi akatoa , na fb walimtumia muamala wake crdb bank after 3 days so niulize kuna fixed amount unayopaswa kudepost au unadeposit kulingana na nini?
Kwenye kutangaza mara nyingi picha/video inashauriwa kuwa inaendana na kile unacho tangaza, kama ni App ya kudownload video basi picha ijieleze,qn 4.
na kuhusu picha za matangazo zinatakiwa picha gani zenye zinaweza kuwa slicked zaidi, ni za aje yani? menginr nakuja inbox[emoji28]
Karibuqn 4.
na kuhusu picha za matangazo zinatakiwa picha gani zenye zinaweza kuwa slicked zaidi, ni za aje yani? menginr nakuja inbox[emoji28]