MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 116
Nasubiri maswali.
machache juu ya saut mwanza, first year hakikisha unatunza tiketi yako, maana kigezo cha kupata hostel unanyesha tiketi yako, hii itathibitisha umetoka nje ya mwanza. na lazima ulipe asilimia fulani ya ada, kabla ya kupata boom.kuhusu hostel, kunahostel mpaka mpaka laki nne au sita,ukimwi hupo, kuna watoto wa mama salma wamepelekwa, kuhusu maisha, kiujumla ni rhisi, maana wali wa buku jero unapata, au unaweza jipikia mwenyewe, ada ya saut ni nafuu pia, chuo hiki hakina mgomo, maana kama mnavyojua wakatoriki kuwafukuza hawaoni hatari, chuo hiki hakuna kudisco, utasoma mpaka uzeeke hapo, juu ya ufundishaji, yaani hapo kama mpo secondar vile, anatoka mwalimu, anaingia mwalimu, na lazima afundishe, ate notsi, na kama hujaelewa ukamuulize, chuo sio kizuri sana, kwa maana ya majengo, lakini kizuri kwa ufundishaji.kuhusu siasa, chuo hiki ni wengi ni chadema, ccm wapo wachache sana,kuhusu masomo, yaani kwa semister lazima usome masomo si chini kumi. kuna somo la kifaransa hilo ni lazima. asanteni