nitumie software gani kutype mathematical functions

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
387
Reaction score
131
habari wanajf mwenye kujua software yoyote ya kutype math functions naomba anijuze au anipe dowload link
 
habari wanajf mwenye kujua software yoyote ya kutype math functions naomba anijuze au anipe dowload link


Nadhani unamaanisha EQUATION EDITOR. Hii ipo kama utility kwenye Microsoft office. Install ms office kama full installation utaipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…