Nitumie programme gani kuunganisha video iwe moja.

Nitumie programme gani kuunganisha video iwe moja.

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
409
Reaction score
182
Programme gani naweza kutumia katika kuunganisha video au video editor. Kuna video nataka kuziunganisha nitumie app gani? Kifaa nacho tumia ni Kompyuta.
 
kaka mnapouliza maswali muwe munataja na vifaa vyenu, maana hapo swali halijibiki
 
natumia kompyuta.

computer zinakuja na simple video editor inaitwa movie maker, click start kwenye computer yako andika movie maker kama haipo kwenye pc yako itabidi uidownload ni bure tu.

idownload hapa
Movie Maker - Microsoft Windows

pia ipo nyengine ni nzuri zaidi inaitwa magix video easy hd ni rahisi sana kutumia sema ni ya kulipia, kama hujui kutumia torrent its better tumia hio movie maker kwanza
 
Back
Top Bottom