Kamfungulie mashtaka ya kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu.
Alikutapeli huku ulitumia Ile kesi sijui ya Nigeria kama mfano na hapo Kenya
Kadai pesa yako
Kadai fidia ya maumivu ya kisaikolojia aliyokusabishia
Kadai tena fidia ya usumbufu ulio upata.
Fidia ya muda ulio upoteza gharama
Fidia ya gharama ya chakula, vinywaji na maandalizi yote isipungue milioni 10.
Chama Cha Wanaume kitakuwa nawe, bega kwa bega