The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,327
- 3,203
Hayo matendo yapo nje ya sheria.Yaani mtu unafanya kazi katika mazingira magumu, alafu unamtumia mtu nauli aje, baada ya kutuma tuu hajaja na simu hapokei.
Kwa mara ya kwanza nauli yangu imeliwa nifanyaje?
Ukikua utaachaYaani mtu unafanya kazi katika mazingira magumu, alafu unamtumia mtu nauli aje, baada ya kutuma tuu hajaja na simu hapokei.
Kwa mara ya kwanza nauli yangu imeliwa nifanyaje?
Sh ngapi?Anirudishie nauli yangu
Jichukulie tu Sheria mkononi kwea mnazi kwa mkono MmojaYaani mtu unafanya kazi katika mazingira magumu, alafu unamtumia mtu nauli aje, baada ya kutuma tuu hajaja na simu hapokei.
Kwa mara ya kwanza nauli yangu imeliwa nifanyaje?
Lakini mkuu refer na wewe hapo juu kama umetoka kufanya kazi ktk mazingira magumu obviously hiyo kazi ilikuwa ni ngumu sasa si inabidi ukale vizuri halafu uupumzishe mwili?Yaani mtu unafanya kazi katika mazingira magumu, alafu unamtumia mtu nauli aje, baada ya kutuma tuu hajaja na simu hapokei.
Kwa mara ya kwanza nauli yangu imeliwa nifanyaje?
Demi akikujibu nitag,Sh ngapi?
Ibara ya 69 ya Sheria ya Ndoa imeweka wazi mkuu,,, lakini Kama aliyemtumia nauli Hana mahusiano nae (uchumba), hio umekula kwakeHayo matendo yapo nje ya sheria.
Unapowauliza wadau njia ya kufanya, hautapata majibu ya moja kwa moja ya kukusaidia.
Topic hii ulitakiwa utoe tu stori ya tukio namna ulivyotendwa ili liwe fundisho kwa wadau wengine.
Lakini kussema utapata jibu la msaada, hakuna, labda ujiongeze mwenyewe namna ya kufanya ama kulipiza kisasi.